Hivi huyu ni Mmachame kama Uffo Saro?....Hii mambo kiboko kwa kweli....Ila huyu Flora Mbasha ataadhirika vibaya!
hahahah igweeee gwajima mzee wa hammer...
Watu tunasamehe mpk dhambi ya kuua ndo itakua ya kubaka...hakuna haja ya kuhukumu...Mungu ndo hakimu wa yote...mimi ningemwachia Mungu na hakika angepata stahili yake....
Haya makanisa haya?. Mimi galfrnd wangu aliniambia alishikwa makalio na mchunhaji mmoja maarufu sana hapa dsm..nikampiga stop ikawa mwisho wa kwenda kwenye mwbezi...
Sali ulipo tuachane na hawa wafanyabiashara.
Pole na wewe kama ni muumini wa haya makanisaPoleni wote mliochangia na mtakaolendelea kuchangia huu uzi.
Asante.
Mkuu kula like!
Kwani hata Mbasha akifungwa miaka 100, itaondoa "kibako" ktk mwili wa aliyebakwa?.
Unamwachia Mungu ashughulike naye hasa kama hujachangia hali hiyo.
Utakuta Mbasha kama kweli alibaka, ameshajuta na kutubu kwa Mungu, na ameshasamehewa, ndio kwanza kesi inafunguliwa.
sijaona uzuri wa hyo mwanamke.....ki ukweli emma aliolewa hapo kwa tamaa ya kulelewa.akubali yaishe amwachie mke huyo mwenye hera amuombe frola wakaandikiane taraka huko huko keko basi jamaa atoke jamaa mmoja aliniambia usioe mke mzuri wakati huna hera yaweza kukucost sana
Pole na wewe kama ni muumini wa haya makanisa
hakubaka... walikua wanafanya uzinzi for a while.... akategwa akanasa
sidhani kama kuna mtu anayetetea ubakaji, bali mazingira yote yako vibaya... wote wazinzi ila mmoja kamuangamiza mwenzake kidunia zaidi kwa kutumia nguvu na pesa
Nihakikishie kwanza kama wewe sio msukule wa Mzee wa Hammer, halafu ndio tuanze kujadili. Ila nadhani una tatizo la kusoma na kuelewa jambo.
Ova
Dah huyu jamaa naona kama anaonewa swali 1 la kujiuliza kwa nn mke ahamie hotelini week inayofuata kutokee kesi ya ubakaji?
Maneno yale na Flora na maneno ya Emm yote yanasabaratisha ndoa hapo ilitakiwa wote wakae pamoja wayamalize!!
Hakuna faida Emma kufungwa wala hakuna faida kwa Emm kuzini na shemeji yake
Huyu Mbasha alikuwa wapi kujifunza mguu wa kuku?Hivi huyu ni Mmachame kama Uffo Saro?....Hii mambo kiboko kwa kweli....