Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

kwanza wangesort out kimya kimya its no good cleaning up dirty linen publicly

sawa ni ngumu kumeza ila kweli mii ningemsamehe kuliko fedheha anayopata sasa
afterall hata yeye kajiharibia Msama promotion sidhani kama atamuita kwenye tamasha lolote ni hii skendo

na FEDHEHA anayoipata mtoto aliyebakwa unaichukulia kwa uzito gani?
 
Hii kitu Emma angejua angemfuata Flora kabla na kumueleza yaliyojiri kabla watu wengi hawajasikia
Kumbuka ipo clip inaonyesha Emm anaomba msamaha. Hatua hiyo ingefanyika mapema na ili amalize jambo hilo asingekuwa mtu mwenye hasira. Huenda hilo lingewezekana sasa naona kila mtu anapandisha !!
Flora anapandisha na Emm anapandisha sasa ndoa imevurugika!!
Hata sisi tunao changia humu tuna matatizo na wake zetu tena makubwa kuliko ya Flora na Emm lakini kila mtu hapa anajua anavyotatua ili majirani wasigundue
Sasa naona Emm na Flora wanatumia vyombo vya habari kutatua ndoa yao

na hatima ya mtoto aliyebakwa mbona huizungumzii?
 
alimbaka shemeji yake na pia akambaka mfanyakazi wa ndani?au mimi ndio sijaelewa?duu kaz ipo
Hiyo ndo kweli na trend hiyo ingeendelea angeaza kubaka majirani hadi akufikie wewe hapo na ndungu zako!
Pepo la zinaa hilo!!
Dawa ni kukaa na mkeo!!
Ni afahdali angekwenda hotelini alikokimbilia Mkewe akamubake kule kule Flora Kusingekuwa na Kesi!!
Ni kwa nini Emm Hakumubaka Flora akiwa ndani lakini amekwenda kumubaka shemeji yake???
 
akubali yaishe amwachie mke huyo mwenye hera amuombe frola wakaandikiane taraka huko huko keko basi jamaa atoke jamaa mmoja aliniambia usioe mke mzuri wakati huna hera yaweza kukucost sana
Makahaba wanasura mbaya sana ndo maana wanafanya ukahaba usiku kwa sababu miili yao ya ndani inatisha , hivyo ni pepo la ngono tu ambalo linasababisha ubakaji
We angalia sura ya Shemeji mtu na sura ya Flora utapata jibu
 
Mwamakula hoja zako bhana Mmmmmmmh!


Ina Maana ktk hili swala na CCM wanahusika?
1.Ukitakata kujua hapa kwa nini kesi ya Kapuya imetoweka hadi leo??
2. Kwa nini kesi ya Festo Limbu Dodoma imetoweka ??
CCM wametumia nguvu kubwa kutangaza mgogoro wa ndoa ya Flora kwa sababu za kisiasa
Pale mwanzo walitanganaza sana ndoa ya Slaa , lakini hawazunguzii ndoa ya Yusufu Makmba na mwenyekiti wake!
 
Mimi nashauri yafuatayo:
1.Hakuna aliyejuu ya Sheria Kwa maana kwamba kama kweli Emmanuel Mbasha alifanya zinaa na Shemeji mtu au alifanya Ubakaji basi upelezi ufanyike na sheria ichukue Mkondo wake

2.Mimi ninaamini kabisa kuwa Mch Gwajima hayupo vizuri na serikali iliyopo madarakani kwa Ushahidi wa Msimamo wake hivyo hawezi kuingilia polisi wala vyombo vya dola ni sawa na mtu anataka kutuaminisha kuwa ati Slaa amehonga polisi wakati siku zote Slaa anapingana na rushwa iliyopo Polisi
3.Makosa ya Gwajima Kufanya zinaa na Flora yatolewe Ushahidi n Emmanuel anaweza kutumia hoja hiyo kumshitaki kwenye Vyombo vya sheria vinavyo husika! Hatuwezi kumtetea Mch Gwajima kwa Hata Mfalme Daudi alifanya makosa hayohayo.
Ni jambo la Kuchekesha na la Kipumbavu ati kwa Kuwa Flora anafanya Zinaa na Gwajima basi Emmanuel Mbasha afanye Ubakaji au Zinaa na Shemeji yake hapa ni sawa na kuruka....... na kukanyaga ......
Kama kweli Emma Kafanya zinaa na Shemeji yake basi Sheria ichukue mkondo hatuwezi kumutetea na K ama Gwajima naye anafanya Zina na Flora Sheria Ichukue Mkondo wake hatuwezi kumutetea.
4. Watu wengi humu wanajenga hoja kuwa Emm Kaonewa je huyo binti kafanywa nini ?? Matukio ya ubakaji yanazidi kuripotiwa kwa watoto nani mtetezi wao??
Ililetwa hapa picha ya Angel Dushima ikidaiwa kuwa ndo ya Esther aliyebakwa hivyo navyo ni visa vya kuficha uongo:
Jambo la kushangaza hata The Bold anayemfahamu Esther alinyamaza kimya na jukwa zima likadanganywa!
5.Tuache ushabiki bali tujenge hoja, ili ukweli uwe wazi na amani ipatikane

Gwajima hata kama ni kweli anamgonga Flora hawezi kushtakiwa popote kwa kuwa wamekubaliana!
Tatizo bado litabaki kwa Emma, maana kama ni kweli basi yeye alifanya bila makubaliano, kama angekubaliana naye huyo binti leo kesi isingekuwapo na angeendelea kujigongea kimya kimya.

All the way ndio mambo ya ulimwengu, lolote linaweza kukutokea binaadamu katika kipindi cha uhai wako.
tunaambiwa yoote anapanga Mungu sasa sijui kama ni kweli ama la!!
 
Hii ni dunia ya pesa. Sina nia ya kumtetea muhusika ila mazingira ya yaliyotokea yanitia wasiwasi. Kazi ya kanisa ni kuimarisha hii taasisi ya ndoa na hivyo huwa makanisa yanaplay role kubwa kumaliza migogoro ya ndoa. Nilisikitika nilipoo ana kanisa linamchangia mke wa mtu kwa maelekezo ya askofu wake ili endelee kukaa hotelini!!! Yaani kubariki mume kutengana na mmewe wakati wanajua alichokuinganisha mungu binadamu hawezi kukitenganisha. Kwa taratibu za kiafrika pamoja na huu utandawazi wenu sijawahi kuona mke anakimbilia hotelini baada ya kutoelewana na mmewe, na kanisa linabariki hilo. Hii inanipa nafasi ya kuconclude kuwa, mke alitumia nafasi hii kucheza mchezo wake.
Mtego unafanywa na mke (logic) huyu bwana atembee na shemeji yake na house girl ili waclaim kubakwa na kumpelekea ushahidi ili atimize malengo yake. Kilicho hitajika ni vipimo kwamba tendo lilitendeka bila kujali ni kwa ridhaa au vinginevyo. Kwa upande mwingine mwanamme anaweza kubaka wanawake wawili ndani ya nyumba hiyo hiyo consecutively kama ana matatizo ya akili na si bure, ila akina delila wanaweza kumshawishi ale tunda (kwa kutumia tension aliyokuwa nayo ili watimize malengo yao.(ushahidi) ambao mke atautumia kummaliza bwana, but ili iweje? Awe huru? asijidanganye ana ndoa ya mme mmoja mke mmoja na zaidi zaidi ataishia ukimada na huyo aliyesuka naye mchezo.
Inawezekana bwana akafungwa, kwani tumeziona kesi za namna hii nyingi na hadi leo watu wapo jela ili matakwa ya wenye pesa yatimize. That is my simple analysis
 
1.Ukitakata kujua hapa kwa nini kesi ya Kapuya imetoweka hadi leo??
2. Kwa nini kesi ya Festo Limbu Dodoma imetoweka ??
CCM wametumia nguvu kubwa kutangaza mgogoro wa ndoa ya Flora kwa sababu za kisiasa
Pale mwanzo walitanganaza sana ndoa ya Slaa , lakini hawazunguzii ndoa ya Yusufu Makmba na mwenyekiti wake!

Bado haujajibu swali Chifu...

Kwa nini unaihusisha kesi ya Mbasha na CCM????
 
Ukishindana na mwanamke matokeo yake ndo haya. Flora ana roho mbaya sana
 
Hiyo ndo kweli na trend hiyo ingeendelea angeaza kubaka majirani hadi akufikie wewe hapo na ndungu zako!
Pepo la zinaa hilo!!
Dawa ni kukaa na mkeo!!
Ni afahdali angekwenda hotelini alikokimbilia Mkewe akamubake kule kule Flora Kusingekuwa na Kesi!!
Ni kwa nini Emm Hakumubaka Flora akiwa ndani lakini amekwenda kumubaka shemeji yake???

ngoja nisiongeze neno lolote,nisubiri nione scene itaishaje
 
Ndoa ni ya watu wawili na kila moja ana haki ya kulinda ndoa hiyo.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote wakiwemo humu jf na si kuwatukana wanandoa wakati na wewe ya kwako inayumba!

Je hukusoma ya kwamba imeandikwa:

Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbav.u huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
kweli dunia haina huruma,ila Mungu ni mwema atajionesha na ukweli utajulikana.
 
je hukusoma ya kwamba imeandikwa:

mithali 14:1 kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; bali aliye mpumbav.u huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

ina mana flora ni pumbafuuuu?
 
Huenda emma akafungwa! Swal je kufungwa kwake kutaondoa aibu ya frola na gwajima? Je mtazamo wa kijamii kwa frola na gwajima utaonekanaje?

Na ikiwa hatofungwa je ndoa bado itaendelea kuwepo? Hv frola atajiskiaje?

Kunakila dalili frora kuhusika, maana kunasku baada ya vuguvu kutulia akasema kavamiwa nyumban et majambaZi walimgongea! Hapo ndpo nkajua mama msanii mwisho,
 
Back
Top Bottom