Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

flora mbasha hajaenda kumwekea mme wake dhamana
 
Dah!inamaana jamaa na jila lote kishindwa kupata mtu wa kumdhamini
Inaonekana alikuwa haishi na watu vizuri huyo dogo mil tano anakosa imekula kwake acha sasa mzee gwajima ajilie vyake
 
Kwa ujumla wanawake wasanii wa aina yeyote sio wa kuoa, ukimtamani kula kdg alafu usepe
 
Hivi hao walio bakwa wamepimwa wakaonekana walibakwa na Mbasha?

Ni wazi jamhuri kwenye hii case itakosa ushahidi wa kutosha.
 
Hee jamaa atakuea baka baka...yaani shemeji na mfanyakazi wote kabaka
 
Aisee, hawa wanawake hawa ni mashetani kabisa hawan.....hata kama ni kweli amemla shemeji yake...kama kweli huyu dada alikuwa anampenda mume wake isingefika huko. Ila kikubwa wanaume tuache kukaa kutegemea wake..huwa wanageuka vibaya. Huyu dogo alikuwa anauza sura tu kwenye maonyesho ya mke wake kiufupi alikuwa anabebwa...hakuwa nq input yoyote pale. Angekuwa na mawe hata ndugu wa mume wangezuia haya yote kutokea. Kimsingi alikuwa anaonekana mzigo..wakamuundia zengwe..kaingia mtegoni
 
Haya makanisa haya?. Mimi galfrnd wangu aliniambia alishikwa makalio na mchunhaji mmoja maarufu sana hapa dsm..nikampiga stop ikawa mwisho wa kwenda kwenye mwbezi...
Sali ulipo tuachane na hawa wafanyabiashara.
 
Masharti ya dhamana mepesi mnooooooo anaenda jela..---- sana hili jamaaa
 
Nje ya mada kiduchu hivi wakuu masharti ya dhamana lazima mdhamini mmoja awe mfanyakazi wa serekali

wakati ufike haya masharti ya dhamana yaangalie hali halisi na si kuingiza masharti ya mwaka 47.

Copy Pasco

Hivi kesi(2) za kubaka zina dhamana?
 
vyanzo vya vifo na matatizo kwa masela wengi waga ni mal.aya....mi nitaoa mzungu kudadek..
 
Maskini Mbasha.... Mkeo anakufunga sasa
 
Gwajima lazima awajibike kwenye hili...
Mimi nashauri yafuatayo:
1.Hakuna aliyejuu ya Sheria Kwa maana kwamba kama kweli Emmanuel Mbasha alifanya zinaa na Shemeji mtu au alifanya Ubakaji basi upelezi ufanyike na sheria ichukue Mkondo wake

2.Mimi ninaamini kabisa kuwa Mch Gwajima hayupo vizuri na serikali iliyopo madarakani kwa Ushahidi wa Msimamo wake hivyo hawezi kuingilia polisi wala vyombo vya dola ni sawa na mtu anataka kutuaminisha kuwa ati Slaa amehonga polisi wakati siku zote Slaa anapingana na rushwa iliyopo Polisi
3.Makosa ya Gwajima Kufanya zinaa na Flora yatolewe Ushahidi n Emmanuel anaweza kutumia hoja hiyo kumshitaki kwenye Vyombo vya sheria vinavyo husika! Hatuwezi kumtetea Mch Gwajima kwa Hata Mfalme Daudi alifanya makosa hayohayo.
Ni jambo la Kuchekesha na la Kipumbavu ati kwa Kuwa Flora anafanya Zinaa na Gwajima basi Emmanuel Mbasha afanye Ubakaji au Zinaa na Shemeji yake hapa ni sawa na kuruka....... na kukanyaga ......
Kama kweli Emma Kafanya zinaa na Shemeji yake basi Sheria ichukue mkondo hatuwezi kumutetea na K ama Gwajima naye anafanya Zina na Flora Sheria Ichukue Mkondo wake hatuwezi kumutetea.
4. Watu wengi humu wanajenga hoja kuwa Emm Kaonewa je huyo binti kafanywa nini ?? Matukio ya ubakaji yanazidi kuripotiwa kwa watoto nani mtetezi wao??
Ililetwa hapa picha ya Angel Dushima ikidaiwa kuwa ndo ya Esther aliyebakwa hivyo navyo ni visa vya kuficha uongo:
Jambo la kushangaza hata The Bold anayemfahamu Esther alinyamaza kimya na jukwa zima likadanganywa!
5.Tuache ushabiki bali tujenge hoja, ili ukweli uwe wazi na amani ipatikane
 
Back
Top Bottom