Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,874
- 1,213
ukifanya ngono na mtoto mdogo wa miaka 17 kama alivyofanya mbasa, hata kama mlikubaliana, jela inakuhusu. huo ni UBAKAJI!
Watu wanafanya ngono na watoto wa miaka 15 na hamnaga kesi wala nini!
bado ishu ni makubaliano, angemtokea kistaarabu wala kusingekuwa na kesi na wala sisi leo tusingefahamu chochote!!
lakini huwa inatokea hivyo mwaka wa kufeli, akili hazikuwa zake na mihemko iliyopitiliza ikazidi uwezo wa kufikiri.
Mungu amsaidie ili ikiwezekana arudi tena mtaani na asiangukiea tena alipoanguka!!