Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

hata Flora angesamehe..unafikiri huyo binti angesamehe? tatizo kesi ilifika kwa kova kwasababu hospital wasingemtibu dogo bila taarifa za polisi...anyways huwezi jua..ila huyu mtoa mada ametudanganya hii habari si ya kweli..mbasha hajakamatwa aisee

Hata mi nina mashaka na hii habari, hvi inawezekana kesi ihairishwe leo alafu keshokutwa itajwe tena? Kibongo bongo ni ngumu sana, hakimu wana kesi nyingi sana, sio rahisi apange karibu kiasi hicho
 
Nyinyi mnao mtuhumu mtimishi qa mungu kazini na frola angalieni midomo yenu na kuropoka kwenu msije mkapata adhabu ya mungu ohooo, mana ni nani aliye thibitisha gwajima ana mdu flora? Mnajua gwajima ni mtumishi wa mungu mwenye nguvu za mung? Afu gwajima kanisani kwake kuna wanawake wengi wazuriii wanaomzidi huyo flora , napia gwajima jinsi navojua hata muda wa kupiga porojo na watu hana kwasababu ni muombaji sana muda mwingi anautumia kwenye maombi. Sasa nyie endeleeni kumtuhimu mungu awakasirikie muone

Mh hata sikuelewi, kama hata shetani alikuwa malaika, simwamini binadamu
 
Naona haki imeamua kupotea katika suala hili. Pole sana hii ndio dunia na sisi ndio binadamu. Piga moyo konde.
 
-ndio bongo mnayoipemda hiyo,maisha kila siku utata utata tu,ufanye kosa usifanye kuingia jela sekunde tu.mijitu imekalia kuwekeana jealous tu bila kutakiana heri.mabwege wachache wenye nazo ndio watunga sheria,sasa hiki ni baadhi ya visa vingi vinatokea na hatupati taarifa.mwanamke akikuchoka anakua shetani kabisa.
huyo Imma hana wa kumlaumu inaelekea alikuwa aachwe siku nyingi lakini kwakuwa kinganganizi imebidi wamtengenezee zengwe
 
Hapa umenena mkuu babukijana hamna katika ardhi ya bongo , mi namtakia jamaa kila la heri katika hiyo kesi ila nachojua haki haitopatikana hata kidogo.
-ndio bongo mnayoipemda hiyo,maisha kila siku utata utata tu,ufanye kosa usifanye kuingia jela sekunde tu.mijitu imekalia kuwekeana jealous tu bila kutakiana heri.mabwege wachache wenye nazo ndio watunga sheria,sasa hiki ni baadhi ya visa vingi vinatokea na hatupati taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu huyujamaa na mke wake si wanajitangaza kuwa walokole? au nimekosea.
 
Khaa!! Bongo bana inabidi uishi uishi kwa adabu.. na usiwe na mdomo mrefu kama huna ushahidi mkononi, bila ya hivyo jela njenje. Hata hivyo ngoja tuhakikishe hii habarri
 
Naamin, atahukumia kama mbasha aliyebaka na sio kama mume wa flora, namaanisha atahukumia kama mtu yeyote Tanzania wala sio kwa umaarufu wake, na pia hataachiwa kwa sababu ni mwimbaji. Sheria ichukue mkondo wake
 
Nyinyi mnao mtuhumu mtimishi qa mungu kazini na frola angalieni midomo yenu na kuropoka kwenu msije mkapata adhabu ya mungu ohooo, mana ni nani aliye thibitisha gwajima ana mdu flora? Mnajua gwajima ni mtumishi wa mungu mwenye nguvu za mung? Afu gwajima kanisani kwake kuna wanawake wengi wazuriii wanaomzidi huyo flora , napia gwajima jinsi navojua hata muda wa kupiga porojo na watu hana kwasababu ni muombaji sana muda mwingi anautumia kwenye maombi. Sasa nyie endeleeni kumtuhimu mungu awakasirikie muone

Hebu tuondolee kichaa chako mwanaharamu mkubwa wewe. Haya unayoongea, hopefully wewe Ni mke wa Gwajima, ni sawa na kutuambia kuwa jua linawaka usiku na giza liko mchana.

Gwajima anauza unga, Gwajima ni mzinzi wa kitaifa, kama Kuna mashindano ya uzinzi inatakiwa watanzania tumpeleke atuwakilishe kidunia. Haiwezekani unogewe na zinaa kiasi cha kuamua kujimilikisha mke wa mtu

Mbasha naye anavuna alichopanda, ukishajifungamanisha na magamba CCM lazima mwisho uwe mbaya, simuhurumii hata kidogo.
 
Hata mi nina mashaka na hii habari, hvi inawezekana kesi ihairishwe leo alafu keshokutwa itajwe tena? Kibongo bongo ni ngumu sana, hakimu wana kesi nyingi sana, sio rahisi apange karibu kiasi hicho

Gwajima kawageuza misukule hata vitu vya kushirikisha ubongo kidogo tu hamtaki kushirikisha. Kwa hiyo ulitaka hakimu apange kesi isikilizwe lini? Baada ya Gwajima kumpa mimba Flora au?
 
Suala kwa nini Mke wa Gwajima hajakimbia baada ya kusikia Gwajima anafanya zinaa na Flora??

Suala ni mbona Emma alikaa kimya na kuvumilia wakati alisikia kitambo kuwa Flora anatembea na Gwajima?
Mwanamke -------- huivunja ndoa yake mwenyewe,hata kama Emma amebaka,lakini ndoa hii ilikuwa inaweza kunusuriwa na Flora,kama ambavyo Emma ameinusuru ndoa muda mrefu pamoja na tetesi za mkewe kuliwa uroda na Gwajima.
Alichofanya Flora sio,hakuwa na mapenzi ya kweli na mumewe.
 
wewe hebu kakae na wajinga wajinga bush lawyer wenzako ndio uongee huu ujinga wako. unajuwa lulu ana kesi gani mahakamani? ni civil case ile?

Mkuu watu wengine ni bora ukawapuuzia tu,. Hakuna lolote analolijua huyu,..
 
Vibaka kwa kuteteana hamjambo utawajua tu sasa hapo nani mwenye pesa kapika kesi.

fikiria kidogo tu, utagundua hapo kuna mchezo mchafu, haiwezekani mtu akafanya kosa tarehe 23 akarudia tena 25 kwa watu wake wa karibu namna hiyoooo
 
"Chechela segedansi nondo gereza inside ndete lupango kunapoteketeza wanaokwenda jela sio wote wana hatia wengine wanakwenda kwa kesi sa kusingiziwa aisee afande gewe ebu lipe kesi ya uzurulaji tupate japo kaulaji"-Triple 5 aka Babu
Wewe Mkali...oooh ooh ngangari wa wa watu kumbe ngangari wansegeju,nataka kwenda msanga oooh nauli nabure kuchukuchu kuchukuchu oooh nauli na bure...
 
Mimi nashauri yafuatayo:
1.Hakuna aliyejuu ya Sheria Kwa maana kwamba kama kweli Emmanuel Mbasha alifanya zinaa na Shemeji mtu au alifanya Ubakaji basi upelezi ufanyike na sheria ichukue Mkondo wake

2.Mimi ninaamini kabisa kuwa Mch Gwajima hayupo vizuri na serikali iliyopo madarakani kwa Ushahidi wa Msimamo wake hivyo hawezi kuingilia polisi wala vyombo vya dola ni sawa na mtu anataka kutuaminisha kuwa ati Slaa amehonga polisi wakati siku zote Slaa anapingana na rushwa iliyopo Polisi
3.Makosa ya Gwajima Kufanya zinaa na Flora yatolewe Ushahidi n Emmanuel anaweza kutumia hoja hiyo kumshitaki kwenye Vyombo vya sheria vinavyo husika! Hatuwezi kumtetea Mch Gwajima kwa Hata Mfalme Daudi alifanya makosa hayohayo.
Ni jambo la Kuchekesha na la Kipumbavu ati kwa Kuwa Flora anafanya Zinaa na Gwajima basi Emmanuel Mbasha afanye Ubakaji au Zinaa na Shemeji yake hapa ni sawa na kuruka....... na kukanyaga ......
Kama kweli Emma Kafanya zinaa na Shemeji yake basi Sheria ichukue mkondo hatuwezi kumutetea na K ama Gwajima naye anafanya Zina na Flora Sheria Ichukue Mkondo wake hatuwezi kumutetea.
4. Watu wengi humu wanajenga hoja kuwa Emm Kaonewa je huyo binti kafanywa nini ?? Matukio ya ubakaji yanazidi kuripotiwa kwa watoto nani mtetezi wao??
Ililetwa hapa picha ya Angel Dushima ikidaiwa kuwa ndo ya Esther aliyebakwa hivyo navyo ni visa vya kuficha uongo:
Jambo la kushangaza hata The Bold anayemfahamu Esther alinyamaza kimya na jukwa zima likadanganywa!
5.Tuache ushabiki bali tujenge hoja, ili ukweli uwe wazi na amani ipatikane

SWALI LA MSINGI KATIKA UBAKAJI NI KWELI JAMAA ALIBAKA SHEMEJI MTU NA HOUSE GIRL???Haiji akilini hata kidogo wajuzi wanadai alikua ana mahusiano na shemeji yake kama alikua na mahusiano ni kwamba shemeji aliridhia mahusiano hayo..!!!!sasa nini maana ya kubaka?????
 
Back
Top Bottom