Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

maisha kwa kweli,sasa na yeye alibaka mara mbili,huko nje alikosa?hata kama ni kweli walitakiwa wayamalize kifamilia,kuna wajomba wa flora wana njaa sana,naona Gwajima kawaahidi mabenzi ndo maana wamekwenda mahakamani,pole mbasha
 
Aisee, hawa wanawake hawa ni mashetani kabisa hawan.....hata kama ni kweli amemla shemeji yake...kama kweli huyu dada alikuwa anampenda mume wake isingefika huko. Ila kikubwa wanaume tuache kukaa kutegemea wake..huwa wanageuka vibaya. Huyu dogo alikuwa anauza sura tu kwenye maonyesho ya mke wake kiufupi alikuwa anabebwa...hakuwa nq input yoyote pale. Angekuwa na mawe hata ndugu wa mume wangezuia haya yote kutokea. Kimsingi alikuwa anaonekana mzigo..wakamuundia zengwe..kaingia mtegoni
Je asingekuwa mzinzi angekamatwa na zengwe hilo????
Nyani amenasa kwenye mtego hapo angekuwa Muadilifu angeshinda mtego!!
Wewe unafikiri hayo matatizo ya Mke na mume yapo kwa Emma Tu??
Unafikiri ni Gwajima pekeee anayetuhumiwa ?? Wapo watu chngu mzima hata humu jf wake zao wanatabia mbaya sana lakini ni suluhu kwenda kubaka shemeji ili kutatua tatizo hilo ?? Hapo ndipo kwenye hoja !!
 
Wee mwamakula unatumia msuli kujibu kwakuwa unakula madhabauni kwa gwajima. ukishaona mwa mwa...jua ni walewaleee....
 
maisha kwa kweli,sasa na yeye alibaka mara mbili,huko nje alikosa?hata kama ni kweli walitakiwa wayamalize kifamilia,kuna wajomba wa flora wana njaa sana,naona Gwajima kawaahidi mabenzi ndo maana wamekwenda mahakamani,pole mbasha
Kosa la ubakaji huwezi kumaliza kifamilia kwa kuwa ni kosa la jinai!!
Labda wange munyamazisha aliye bakwa !!
Je ungekuwa wewe umebakwa ungekubali kunayamza??
 
Hivi hao walio bakwa wamepimwa wakaonekana walibakwa na Mbasha?

Ni wazi jamhuri kwenye hii case itakosa ushahidi wa kutosha.

Mkuu, unaijua Tz au unaoaikia? Kina Nguza Viking wako wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
vyanzo vya vifo na matatizo kwa masela wengi waga ni mal.aya....mi nitaoa mzungu kudadek..


wanasemaga wazungu wabaridi sana hawana joto 6 *6 sijui ni kweli nalisikia mtu anasema tu
 
Wee mwamakula unatumia msuli kujibu kwakuwa unakula madhabauni kwa gwajima. ukishaona mwa mwa...jua ni walewaleee....
Mimi nadhani ungejibu maswali yangu kwa hoja:
Ili kesi hiyo ife ni lazima bint aliyebakwa afe au asiwepo au asilalamike.
Sasa huyo binti angekuwa mdogo wako ungemshauli anyamze harafu aendelee kukaa na Emmanuel Mbasha kwa sululuhu la famila??
Wewe unafikiri dawa ya kuimarisha ndoa ya Emma ni Emma kumubaka Shemeji ili Flora asifanye Zinaa na Gwajima??
 
Hivi mtu anabakwaje mara mbili tena siku tofauti?
Kubakwa kunako tajwa ni kama hivi :
Ukikubaliana na mtoto mdogo chini ya miaka 18 na ukafanya zinaa mwezi mzima unahesabiwa kubaka
Wengi wamefungwa kwa kesi za ubakaji za namna hiyo.

Pia ukimwingilia mwanamke bila yeye kushawishika bado ni ubakaji ukifauatilia makosa aliyoshitakiwa nayo Emma utagundua jambo fulani pale!!
 
Ni kosa ila mme wangu akifanya hivyo,nitamsamehe,kuliko aende jela miaka 30

kwanza wangesort out kimya kimya its no good cleaning up dirty linen publicly

sawa ni ngumu kumeza ila kweli mii ningemsamehe kuliko fedheha anayopata sasa
afterall hata yeye kajiharibia Msama promotion sidhani kama atamuita kwenye tamasha lolote ni hii skendo
 
Ila kama huyu jamaa amesingiziwa basi Mungu atakuwa bize sana siku ya judgement day.
 
Ni kosa ila mme wangu akifanya hivyo,nitamsamehe,kuliko aende jela miaka 30
Hii kitu Emma angejua angemfuata Flora kabla na kumueleza yaliyojiri kabla watu wengi hawajasikia
Kumbuka ipo clip inaonyesha Emm anaomba msamaha. Hatua hiyo ingefanyika mapema na ili amalize jambo hilo asingekuwa mtu mwenye hasira. Huenda hilo lingewezekana sasa naona kila mtu anapandisha !!
Flora anapandisha na Emm anapandisha sasa ndoa imevurugika!!
Hata sisi tunao changia humu tuna matatizo na wake zetu tena makubwa kuliko ya Flora na Emm lakini kila mtu hapa anajua anavyotatua ili majirani wasigundue
Sasa naona Emm na Flora wanatumia vyombo vya habari kutatua ndoa yao
 
Niliiona ile video ya Flora,alivyokuwa anaelezea kiukweli hakuwa na mapenzi tena na mmewe.
 
Dah huyu jamaa naona kama anaonewa swali 1 la kujiuliza kwa nn mke ahamie hotelini week inayofuata kutokee kesi ya ubakaji?
 
kwanza wangesort out kimya kimya its no good cleaning up dirty linen publicly

sawa ni ngumu kumeza ila kweli mii ningemsamehe kuliko fedheha anayopata sasa
afterall hata yeye kajiharibia Msama promotion sidhani kama atamuita kwenye tamasha lolote ni hii skendo
Emma na Flora wanatatua mambo ya ndoa yao kwenye vyombo vya habari kwa maslahi wanayo yajua
Ni nani humu hana tatizo kama hilo??
 
Kweli hujafa hujaumbika...

Kuna jambo linacontradict kidogo kuhusu umri wa Mr Mbasha...hapa ana miaka 32
In 22/ 09/ 2002 I said my vows and got married to my one and only husband Emmanuel Mbasha at the E. A. G. T Church in Mwanza.

Yako wapi....

My husband E. Mbasha has been of great assistance to my success, he has supported me by giving the right advice and guidance that has led to what I have today. We have song written together songs and performed in both albums that I hold.

ema.jpg
One of good times
​
 
Niliiona ile video ya Flora,alivyokuwa anaelezea kiukweli hakuwa na mapenzi tena na mmewe.
Maneno yale na Flora na maneno ya Emm yote yanasabaratisha ndoa hapo ilitakiwa wote wakae pamoja wayamalize!!
Hakuna faida Emma kufungwa wala hakuna faida kwa Emm kuzini na shemeji yake
 
Back
Top Bottom