Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,424
- 9,358
Huyu ndio Don hawa sijui, Jeshiiiii, Sadala wanamtazama kwa jicho la hosp sana.Hand claaap, shake foot, hug shoulder Don kama Don waueee
Promo wake matata
Huyu ndio Don hawa sijui, Jeshiiiii, Sadala wanamtazama kwa jicho la hosp sana.Hand claaap, shake foot, hug shoulder Don kama Don waueee
Go away iko stoo inasukwa upyaDon Nalimison mtu mbaya, mtu mbad, mtu na nusu....
Go go go away,
Coz you confuse me,
Hatari sana mzee. Sasa ngoja nione hiki kitu kipya kwanza.
Pamoja sana.Ngoma kali sana
And You too."Enjoy life"
HahahahaNenda milembe
Imba wewe hicho kisukuma chako, ukauze kwa wasukuma wenzako.Hamna kitu hapo.
Nimeona umeweka wakina Rihana, Beyonce, Kelly Rowlings kama sikosei kwenye ngoma ya Dilema na Nelly..
Ungeimba nyimbo za kisukuma tu huenda ukatoboa.
Pamoja sanakilapu hendi,sheki futi
We si ulisema hautaandika wala kuimba kwa Kiswahili? Hii hapa umeandika lugha ganiTazama wimbo.
Ila harmo naye huwa ananiachaga hoi...Sheki sheki bodiii
Kongratuletiiiii
Let me hug shodaaa with yuuu(hata sjui bega mtu anahugije au mm ndo sielew? 😂😂😂😂)
Harmonize nahisi amekukopi bosss nayeye anataka kutoka kwa hii hii staili yako...
Shi dooo shi dooo ah
Yu go basti ma mendula
Ila harmo naye huwa ananiachaga hoi...
Eti...shidoooo shidoooo shidoooo waaaa, shidowa nobad
Hahahahahaha
goma kali sana hili