Huyu ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani

jamaikatz

Member
Jul 11, 2023
51
132
Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani.

Jamaa ana dola bilioni 3.2.

Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5.

P Didy ana dola milioni 800

Dr Dre ana dola milioni 500

Kanye ana dola milioni 400.

Floyd Mayweather ana dola milioni 400

Why Jordan ana pesa nyingi na wakati alistaafu tangu miaka ya 90?

Jibu ni jepesi tu, mama yake alimpa utajiri huu baada ya kusaini mkataba na NIKE kwamba kama wanataka mtoto wao asaini dili lao na si na Adidas basi wawe wanamlipa maisha yake yote kila kiatu cha Air Jordan kitakapokuwa kinauzwa.

Mkataba ukasainiwa. So mpaka leo jamaa anaingiza pesa hadi atakapokufa. Na Wamarekani weusi wanavipenda sana viatu vya Air Jordan, na wanavinunua sanaaaa.

Hizo takwimu za utajiri zinatoka hapo mjini Forbes.
 
Michael Jordan
1711550147549.jpg
 
Lebron James ana ngapi?
 
Back
Top Bottom