Muziki ni kama laana fulani hivi

jamaikatz

Member
Jul 11, 2023
51
132
Unajua muziki ni kama una laana. Bible inasema shetani alikuwa malaika wa kumsifu Mungu, Makerubi nadhani ambaye alikuwa na mbawa sita. Na kila bawa alilokuwa analifunua, vilikuwa vinasikika vinanda na sauti za kumsifu Mungu.

Wakristo wanaimba kanisani kumsifu Mungu, Mungu anapenda sana hii. Mfalme Daudi alimuimbia Mungu mpaka nguo zikamvuka, mkewe akamkejeli, Mungu akafunga kizazi chake.

Muziki umebeba vitu vingi sanam hata makanisani ukisikia mchungaji amezini, basi unakuta na muimba kwaya. Kuna siri kubwa sana kwenye muziki sema watu hawajui.

Wanamuziki duniani ndiyo wanaongoza kuwa na misala mingi na kuchapa mademu hovyo. Ndiyo wanaongoza kuwa na maisha fulani hivi ya anasa.

Fuatilia hata kesi za watu weusi Marekani, wengi ni wanamuziki. Kuna blacks wengi tu wanakipiga kikapu, tenesi, football, soccer na wana pesa kuliko hata wanamuziki ila husikii haya masuala ya kufilisiwa.

Achana na hao. Jordan ana pesa kuliko mwanamichezo ama mwanamuziki yeyote yule, ila huwezi kusikia sijui amefanya hivi na vile.

Kila skendo ni wanamuziki.

Angalia maisha ya wanamuziki wa Tanzania, ushenzi wanaoufanya hata kwa wanawake, halafu angalia na wanasoka, vitu tofauti.

Muziki umebeba roho kadhaa ambazo huwezi kuziona kwa macho yako kwa sababu ndicho kitu ambacho shetani amewekeza huko kwa kuwa anapajua vizuri.

Mwanamuziki kumnyanyasa mwanamke kingono ni rahisi kuliko mwanasoka. Hapa ishu si pesa, ishu ni roho za ajabu zilizokuwa kwenye hii tasnia ya muziki ambayo kiroho baba yake alikuwa ni shetani.

Hatujui, tunasema black wanafilisiwa, ila why ni wanamuziki tu na si wanakikapu ama wengineo? Huoni kuna kitu hapo?
 
1711550792340.jpg
 
Muziki umebeba roho kadhaa ambazo huwezi kuziona kwa macho yako kwa sababu ndicho kitu ambacho shetani amewekeza huko kwa kuwa anapajua vizuri.
KWA NINI HUWEZI KUONA KWA MACHO

Na kwanini shetani kawekeza huko?

kipaji cha uimbaji si tunapewa na Mungu, shetani kaingiaje hapo
 
Nyemo chilongani
 
Naweza nikakubaliana na wewe ila bado andiko lako halijawa specific....umeelezea juujuu tu
 
Umesahau na misikitini pia, wale waimbaji Kaswida wanaofilwa na walimu wao.....mwisho wa siku wanahamia Dar na kutwa Aunty Muddy
 
Back
Top Bottom