Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

Don Nalimison mtu mbaya, mtu mbad, mtu na nusu....

Go go go away,

Coz you confuse me,

Hatari sana mzee. Sasa ngoja nione hiki kitu kipya kwanza.
 
Umeniangusha Don hii ngoma mi nishaiona tangu siku ya kwanza mi nikajua kitu kipya kama kawaida yako.

Kule BET wanaenda washamba washamba wanavaa mashuka kule inabidi uende wewe uzamie huko huko umuoe Maria au Jojo Siwa.
 
Don hiki ndo kibarua chako kipya baada ya kufukuzwa ualimu, ila unapotea sana jukwaani......
 
Artist:DJ Don
Song:Let me hug you
Director:??????

Don naomba niwe videographer wako basi..

Wakuu Stephen Chelu na funzadume njooni muiangalie Ngoma mpya tuipeleke trend u tube..ina mavideo Vixen wa America km wote!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom