Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,622
- 112,697
Hivi huyu sio Deogratius Nalimi kisandu?Ngoma ijayo umchukue Mwl Evelyn Salt awe video queen
Don Nalimison au???
Hivi huyu sio Deogratius Nalimi kisandu?Ngoma ijayo umchukue Mwl Evelyn Salt awe video queen
😂😂😂😂😂Hivi BET wanaachaje kuchukua mtu kama Don?
Huyu classic kwa Tz
Mzee wa shake hand akiwa na Beyounce
Ngoma nasikia umeirekodia Mirembe ,
Au vipi?
Ndio yeye. Alibadili jina baada ya kutoka jelaHivi huyu sio Deogratius Nalimi kisandu?
Don Nalimison au???
Sina hata mmoja.Don una watoto wangapi?
Kama unavyoona.Nilikuwa naomba kufahamu, hao wasanii wa Marekani uliwasiliana nao katika hiyo collabo?
Upo una uthubutu. PambanaKama unavyoona.
Daaah nilimmiss sana mwamba, mi ni bonge moja la fan wake....Ndio yeye. Alibadili jina baada ya kutoka jela
Muulize sababu za kubadili jina atakwambia hata kwa kifupi.Daaah nilimmiss sana mwamba, mi ni bonge moja la fan wake....
Sa mbona ametupoteza mashabiki zake hatujui id yake.
Welcome back Don Nalimison chupa lipo njema nimelielewa sana mambo ya kesheki hendi wizi me
Yani mwandiko wake tu nimeutambua kwamba huyu ni Nalimi mkwe wa obamaMuulize sababu za kubadili jina atakwambia hata kwa kifupi.
HahahahahaYani mwandiko wake tu nimeutambua kwamba huyu ni Nalimi mkwe wa obama
Law enforcement.Muulize sababu za kubadili jina atakwambia hata kwa kifupi.
Nilikumiss sana, hongera kwa kichupa kikareeeHahahahaha
Aksante. Lakini huyo ni video vixenNilikumiss sana, hongera kwa kichupa kikareee
Yuko njema naona pale kati wowowo analirusha si mchezo, anasheki ze hagaAksante. Lakini huyo ni video vixen
HahahahYuko njema naona pale kati wowowo analirusha si mchezo, anasheki ze haga
Kawaida tu mkuu.Sheki sheki bodiii
Kongratuletiiiii
Let me hug shodaaa with yuuu(hata sjui bega mtu anahugije au mm ndo sielew? 😂😂😂😂)
Harmonize nahisi amekukopi bosss nayeye anataka kutoka kwa hii hii staili yako...
Shi dooo shi dooo ah
Yu go basti ma mendula