Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,151
- 1,783
Inawezekana hata mkeo asipopata period yke utasema sababu ni Samia suluhu tuSaa Mia anatuzingua,Sasa hivi soda hakuna mtaani.
Inawezekana hata mkeo asipopata period yke utasema sababu ni Samia suluhu tuSaa Mia anatuzingua,Sasa hivi soda hakuna mtaani.
CCM ya 1977, ndo ile ile ya 1984, ndo ile ile ya 1994, ndo ile ile ya 2012, na ndo hiyo hiyo ya 2025!!Una uhakika mwaka 2025 mazingira na mambo mengine yatakuwa sawasawa na mwaka 2015?
Umevurugwa, pole sana! Utasubiri sana!Waswahili wanasema ukiishi nyumba ya vioo usitake ugomvi wa mawe. Kwa kua umetangaza waziwazi na mapema vita na unaowatuhumu kutaka uraisi 2025 sasa kaa mguu sawa. Wenzio hua wanapigana kimya kimya sasa wewe ugomvi wa chumbani umeuleta sebuleni. Jiandae kupigwa vita nje nje na waziwazi kama ulivyoanza mwenyewe. Hili goma umelipiga mapema mnoooo.
Ahsante kwa kuliona hilo, na ni mjinga asiyezijua siasa za Tanzania tu ndie anaweza kukupinga!Ndugai and the company wana - muscles za kumtunishia m/kiti ccm!!!? Kweli!!?
Mi najua kwa hakika, kwa katiba iliyopo labda samia afe (God have mercy) lakn vinginevyo, atakuwa rais hadi 2030.
Ccm ni chama dola kweli kweli.... mwenyekiti wa chama ambaye pia ni Rais ndiye mwenye kauli ya mwisho.Yaani ukitaka kuona uchanga wa mtu kwenye siasa za Tanzania basi msikilize anaongea nini kuhusu Samia na 2025!!
Guys, moja ya sababu ambazo ma-CCM huwa wanatupiga sana bao ni namna wanavyo-handle mambo yao!!!
Huku nje unaweza kuona huko CCM kuna mtimbwalanyiko kweli kweli lakini haya majamaa yakishakutana tu Chimwaga, yanakuwa kitu kimoja!!
Hizi simulizi za CCM kuparaganyika, CCM kufa kibudu zilienea sana wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa CCM mwaka 2012!!!
Tena wakati ule kulikuwa na vigogo kweli kweli waliokuwa wanaonekana ndo wanaenda kuichinja CCM... hawa ni pamoja na Lowassa, Chenge, na Rostam Azizi!!
Kuna wengine wakafikia hadi kusema JK anapigwa chini uenyekiti... sie wengine tukawa tunacheka tu!!!
Pamoja na rabsha zote hizo, wafuatiliaji wa siasa watakumbuka kilitokea nini!!
The Main Villain Himself, Edward Ngoyai Lowassa wakaja kumchinja na kumzika kabisa 2015!!!
Hayo ndo ma-CCM!!
Hivi mwaka huu CCM si wanafanya Uchaguzi wake mkuu?!
Subirini basi kama hamajasikia Samia huyo huyo akichaguliwa tena uenyekiti kwa 100%!!
Tena sio Chama Dola, ni Chama LIDOLA... hapa ni kujiandaa tu kisaikolojia!!Ccm ni chama dola kweli kweli.... mwenyekiti wa chama ambaye pia ni Rais ndiye mwenye kauli ya mwisho.
NimekumissNdo Samia!
Wacha wee... nami nimeku-miss hadi najisikia kuugua!!! Uko poa lakini?Nimekumiss
Kweli Rais wa Tz ana nguvu kubwa sana, hao wenye Ccm wenyewe walionja joto ya Magufuli kwa miaka 5 huku mhuni mmoja aliyeitwa 'Musiba' kutwa akiwatukana na hawakuwa na cha kumfanya.Tena sio Chama Dola, ni Chama LIDOLA... hapa ni kujiandaa tu kisaikolojia!!
2025Waswahili wanasema ukiishi nyumba ya vioo usitake ugomvi wa mawe. Kwa kua umetangaza waziwazi na mapema vita na unaowatuhumu kutaka uraisi 2025 sasa kaa mguu sawa. Wenzio hua wanapigana kimya kimya sasa wewe ugomvi wa chumbani umeuleta sebuleni. Jiandae kupigwa vita nje nje na waziwazi kama ulivyoanza mwenyewe. Hili goma umelipiga mapema mnoooo.
Soda na period vina uhusiano gani? Yaan kukosekana kwa bidhaa unafananisha na uchafu ! Kuna connection haiko sawa mahali,Hongera Sana.Inawezekana hata mkeo asipopata period yke utasema sababu ni Samia suluhu tu
Hawa wafanyakazi wa Uhuru sijui kama wapo mjini 😀Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 1887958
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
PIA, SOMA:
Asiendelee kupoteza muda kumsagia mwenyekiti kunguni😁
Dunia duara,usiwe msahaulifu,kilichotokea hakifutiki,Timiza ahadi kwa vitendo,usimsemee mtu,huenda unamharibia bila kujua🤭Hii hadithi inatufundisha nini?