Paul Makonda ni Karata ya muhimu kwa Rais Samia kuelekea uchaguzi wa 2025

Lidafo

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
551
747
Habari wanajamvi!

Kwa anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh. Paul Makonda Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za Kisiasa hapa nchini, Ujio wake umekuwa wa kishindo sana na hii ni karata muhimu kwa Rais Samia kuelekea mbio za uchaguzi wa 2025 nitaelezea kwa ufupi kwanini makonda ni karata ya muhimu kwa Rais Samia.

Tufahamu kuwa kipindi cha Hayati Dr. Magufuli alianzisha siasa zilizojulikana kama siasa za kutetea wanyonge na kupitia mbinu hii alifanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90% kuteka nyoyo na akili za watanzania hasa wa tabaka la chini ambao walikuwa wakifurahishwa na jinsi Dr. Magulfuli alivyokuwa akiwawajibisha viongozi.

Baada ya Rais Samia kupokea kijiti cha Urais aina ya siasa za Hayati Magufuli zilionekana kupotea na kundi kubwa la watu wa tabaka la chini halikupenda viongoizi wanapokosea kutowajibishwa na hii ilipelekea taratibu Rais Samia kuanza kupoteza mvuto hasa kwa raia wa hili tabaka la chini.
Inaonekana Samia alipewa ushauri wa kumrudisha Makonda kuwa active kwenye siasa tena ndani ya chama na akaukubali kwani Makonda anaziweza siasa za Hayati Dr. Magufuli na hivyo lile kundi kubwa la watu lililopoteza imani na serikali ya Dr. Samia taratibu litaanza kurudisha imani kwa serikali na hili linajidhihirishakupitia mikutano ya Mh. Makonda inayoendelea Tanzania. Hapa ni kusema kuwa ujio wa Mh. Makonda ni wa kimkakati Zaidi.

Niseme tu kama Mh. Samia kaamua kutumia karata hii ya makonda ni wazi kuwa timu Magufuli bado walikuwa na nguvu ndani ya chama na hivyo haikuwa sahihi kuwaapuuza lakini hii ni ishara huenda kufikia 2025 wengi katika wanasiasa wenye mrengo wa Hayati Dr. Magufuli wakarudishwa kundini ili kumsaidia Rais Samia katika kampeni za 2025, Ingawaje inaonekana mchuano utakuwa mkali sana ndani ya chama kwani kuna loophole nyingi sana zinazoweza kutumika kumuweka mgombea mwingine tofauti na Samia.
 
hayupo binadamu kumreplace Dr Samia Suluhu Hassan kwa wakati huu na ujao
 
Karata muhimu ya Nini? Matatizo yote haya yamesababishwa na CCM. Acheni kutudanganya.
 
Good analysis!. Naunga mkono hoja
Hiki ni chuma!, huu ni mtaji Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
 
Habari wanajamvi! katika kampeni za 2025, inaonekana mchuano utakuwa mkali sana ndani ya chama kwani kuna loophole nyingi sana zinazoweza kutumika kumuweka mgombea mwingine tofauti na Samia.
Uchaguzi wa 2025, hakuna mchuano wowote kwa Rais Samia kwasababu kwa utaratibu wa CCM, 2025 Samia anapita kwa mserereko, inatolewa fomu moja tuu ya Samia!. Ila inaweza kutokea Samia asigombee kwasababu HII them bado Samia atachukua fomu yake na kumpa mtu atakaye mtaka!.

Kwa jicho la kichambuzi ipo wazi kuwa Samia anataka kuendelea na Urais (sijui kunanini kwenye hicho kiti)
Lakini kuna makundi nayo yanahitaji hicho kiti kwa hali na mali na siyo ya kupuuzwa hata kidogo na ndio maana anachokifanya Samia Ni kutafuta nguvu kutoka pande zote yaani anahitaji msaada wa team Msoga na wa team Magufuli na anafanya hivyo ili kuwaua wote nguvu kwani akipuuza kundi lolote kati ya hilo ndio litakalokuwa mpinzani wake 2025.
Hivyo kitaalamu Samia anawafanya maadui zake kuwa marafiki ili kuwavunja nguvu.
 
Karata muhimu ya Nini? Matatizo yote haya yamesababishwa na CCM. Acheni kutudanganya.
CCM wanasababisha matatizo kwa kiasi fulani sikatai lakini kwa kiasi kikubwa ni wananchi ndio wameacha hayo yatokee.
Yaani kwa kifupi wananchi wameamua bora shetani uliyemzoea kuliko malaika usiyemjua.
 
Karata muhimu ni katiba mpya yenye kujibu haya matatizo ya kimfumo na siyo kumtegemea mtu
Tatizo ni kuwa wengi wanaodai katiba mpya hawamaanishi kutoka moyoni na hiyo ni kwasababu ya tamaa zao yaani wanalizungumzia jambo ili serikali iwape chochote kitu.
NO ONE IS REAL.
 
Kwa jicho la kichambuzi ipo wazi kuwa Samia anataka kuendelea na Urais (sijui kunanini kwenye hicho kiti)
Lakini kuna makundi nayo yanahitaji hicho kiti kwa hali na mali na siyo ya kupuuzwa hata kidogo na ndio maana anachokifanya Samia Ni kutafuta nguvu kutoka pande zote yaani anahitaji msaada wa team Msoga na wa team Magufuli na anafanya hivyo ili kuwaua wote nguvu kwani akipuuza kundi lolote kati ya hilo ndio litakalokuwa mpinzani wake 2025.
Hivyo kitaalamu Samia anawafanya maadui zake kuwa marafiki ili kuwavunja nguvu.
Kwa vile kwa mujibu wa utaratibu wa CCM, urais wa 2025 ni kwa mserereko, hakuna mwana CCM yeyote anayeuotea urais wa 2025.

Mkuu usisahau kuna loopholes nyingi zinaweza tumika kuhalalisha kuvunjwa kwa utaratibu wa ka mserereko uliozoeleka.
Kwani Samia hakushindanishwa na wala hakuchukua form ya urais ila ameupata kwa bahati baada ya mapenzi ya Mungu kutimia.
Hivyo 2025 mpira unaanza 0 - 0 japo kuwa Samia Ana nafasi kubwa ya kubadili matokeo maana kwa sasa yeye ndie mwenye kadi zote nyekundu na njano na ameanza kuzitumia vizuri maana anajua ugumu wa mechi.
 
Back
Top Bottom