johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
- Thread starter
- #381
Wanalima nyanya usukumani HukoHawa wafanyakazi wa Uhuru sijui kama wapo mjini 😀
Ila yule boss wao mama alimuhurumia akampa kauteuzi fulani Sema nimesahau
Wanalima nyanya usukumani HukoHawa wafanyakazi wa Uhuru sijui kama wapo mjini 😀
IAsiendelee kupoteza muda kumsagia mwenyekiti kunguni😁
Chief priest hapo unamsomea ilani,au dua🤔Hagombei
😆😆😆😆😆😆Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 1887958
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
PIA, SOMA:
Hagombei
Tupo kama kawaHawa wafanyakazi wa Uhuru sijui kama wapo mjini 😀
Mtakua members wa deep state nyie!!Tupo kama kawa
Anahaha tu sahivi kila sehemu mabango take utafikiri kampeni imeanzaMtakua members wa deep state nyie!!
Sio kwa Boko hilo!!
Yaani mmemchosha Kwa hilo bandiko!!
Hamkupelekwa detention Kigamboni kweli 😀😀Tupo kama kawa
Mama NTU ya upendoHamkupelekwa detention Kigamboni kweli 😀😀
Basi hongereniMama NTU ya upendo