Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Hivi kazi ya rais wa zanzibar kwenye muungano wa tz ni nini?
Kama kuna kosa ambalo hatutamsamehe mwalimu Nyerer ni huu muungano na watu waajabu wenye matusi na majivuno kama wazanzibari,wakati umefika,sasa wakutengana kila mtu aingie kivyake kwenye shirikisho la Africa MasharikiLissu alishawatukana wazanzibari jana wakati wa hotuba yake, vipi mkuki kwa nguruwe eeeeh!
Lissu alishawatukana wazanzibari jana wakati wa hotuba yake, vipi mkuki kwa nguruwe eeeeh!
Kwa wale watu makini, nadhani mmeshajua kuwa hawa watu waliandaliwa kutoka jana, mbona wale wabunge waliokuwa wanauponda muungano sikuwaona wakichangia, kama ni kweli hawa wabunge walikuwa wanawakilisha sauti ya wazanzibar wote sasa hizi roho za kwanini juu ya muungano zinatoka wapi? Lakini msiwe na wasiwasi juu ya hili hivi punde mtayasikia mengine kuhusu huu muungano na ninawahakikishia hili
<br /> <br / hawana lolote hawa tena waendezao hawajui wanafanyaje bungeni kazi yao ni kuongea kishogashoga na sijui kelele zao ni za nini wakati alichoongea lisu ni ukweli m2pu kw RAIS WA ZANZIBAR ASHIRIKISHWE KWENYE MAMBO YANAYOHUSU MUUNGANO TU.Wabunge wa znz kitu gani???shule ipo????au skuli??ati wabunge? wamshuru Nyerere,wanaongoza vitongoji leo wanajifanyamuch know,leteni cv hapa ubaoni tuwaone.
Kwa wale watu makini, nadhani mmeshajua kuwa hawa watu waliandaliwa kutoka jana, mbona wale wabunge waliokuwa wanauponda muungano sikuwaona wakichangia, kama ni kweli hawa wabunge walikuwa wanawakilisha sauti ya wazanzibar wote sasa hizi roho za kwanini juu ya muungano zinatoka wapi? Lakini msiwe na wasiwasi juu ya hili hivi punde mtayasikia mengine kuhusu huu muungano na ninawahakikishia hili
Sikujua Waziri Wa Sheria Selina KOmbani anaweza akapersonalise Hotuba ya Upinzani Kwa sababu nimeona anajibu vifungu kama vile anamsuta Tundu Lissu,Na yeye pia ana shaka na uwezo na wake wa ufahamu,staha na matumizi ya lugha,nadhani hilo la uraisi wa kifalme na kuita mahakama kuendeshwa kifisadi limemuuzi zaidi,amesema Tundu Lissu ni mchochezi kwa kusema wazanzibari sasa waangalie nafasi yao kwenye muungano,washiriki mambo ya muungano tuu
Kasema Tundu Lissu anaharaka kwa kuongelea mambo ya Katiba bila ruhusa yake anasema Tundu Lissu kapeleka mswaada wa Katiba wakati bado wizara wako kwenye mchakato,anatuonya watanzania tusije tukaingizwa mkenge na mtu mmoja kwa maana (Tundu Lissu ) kama ilivyokuwa kwenye mswaada
Mytake : Nimesikitishwa na kukasirishwa jinsi Selina Kombani anavyomshushia hadhi Tundu Lissu kwa kumuona si mtu wa kuaminika kwamba hotuba amejiandikia mwenyewe bila mawazo ya upinzani ,halafu kitendo cha waziri mwenye dhamana ya wizara kuwaunga mkono wabunge waliokuwa wanamtukana Tundu Lissu matusi ya nguoni kinaonyesha kwamba kama kawaida yao CCM walijipanga
woooooooteeeeeeeee hamna tofauti na mletaji mada hakuna mtu aliyetujuza kwa undani tukaelewa
[COLOR=#ff0000 said:Nduka[/COLOR];2405272]Haina majotroo bana, hivi unajua maana ya Tundu Lissu kule Unguja?
<br />Wa Zenji wala hawajamtukana zaidi ya kumpa ukweli ulivyo. Ila inaonenaka Chadema wanaogopa vivuli vyao wenyewe.<br />
<br />
Yetu macho.
hivi zinapatikanaje? Wana wetu watakuja kutuumbua kwamba uwezo wetu wa kupambanua mambo ulikuwa mdogo sana.Sijui hizo hansadi zenu mtarekodi huo upupu kama kumbukumbu kwa baadae ama vipi.
.
Ni sehemu yake ya kupumzikia.Hivi kazi ya rais wa zanzibar kwenye muungano wa tz ni nini?