Full mipasho bungeni

Full mipasho bungeni

kitundu wako! katikati ya masaburi yako
Msamehe kwani hajielewi. Anafikiria kwa kutumia Masaburi, anataman angekuwa na uwezo wa kutumia ubongo.

ukiokosa point si bora usome za wenzio tu au lazima uchangie???????????????????/
Ukimuuliza atakwambia kila Mtanzania ana haki ya kutoa MAWAZO yake.
Matatizo ya kufikiria kwa kutumia MAsaburi yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

''Wasomi wengi hata wa vyuo vikuu hawaijui katiba kama wanaijua hawailewi na kama wanailelwa hawajui vifungu'' (Prof Issa Shivji TBC1 24/8/2011)
Sishangai wabunge wa Zanzibar kutoelewa nini hasa Mh Tundu Lissu alimaanisha katika hotuba yake, walisikiliza hawakuelewa na pale walipoelewa kidogo hawakufahamu undani wa hoja, wanatumia nguvu nyingi kusukuma ukuta na ukipima workdone ni zero!
am out
Kuna tatizo la usomi na kwenda shule.
Hao si wasomi wamepita shule.

Hivi huu wanaouita muungano una maslahi gani kwa watanganyika? naomba kama kuna mwanaJF anayejua anijuze jamani!, Kwa kweli mimi kwa maoni yangu, huu muungano ni wakuufutilia mbali tu!

Hivi huu wanaouita muungano una maslahi gani kwa watanganyika? naomba kama kuna mwanaJF anayejua anijuze jamani!, Kwa kweli mimi kwa maoni yangu, huu muungano ni wakuufutilia mbali tu!
Faida yake ni kuwafany wabunge wa-Zanzibar kupewa posho mara2., Zanzibar na Bara.
hiyo ndio kubwa zaid.

zenji elimu hakuna ndio maana inabidi tuwabebe kila wakati nje yahapo ni kiama

Faida yake ni kuwafany wabunge wa-Zanzibar kupewa posho mara2., Zanzibar na Bara.
hiyo ndio kubwa zaid.

Du! Kumbe ndiyo maana wanawachagua wawakilishi wavivu wa kufikiri wanaojua tu kuropoka badala ya watu wenye uwezo wa kufiri kama binadamu timamu! Lakini mtu aliyechaguliwa na vichwa 2500 siyo sawa na aliyechaguliwa na vichwa vinavyofikiri vizuri 50,000! Hawa jamaa wa znji sijui, tuwasaheme tu! Shule ndogo

Wabunge 2 toka zanzibar wametoa maneno makali, matusi na dhihaka dhidi ya Lisu. Lisu akasimama kuomba utaratibu lkn spika Anne Makinda kamzuia kasema tuvumiliane. Rai yangu kwa spika..next time Mbunge toka CDM au upinzani wowote exluding CUF akitoa maneno makali na matusi kama haya dhidi ya CCM naomba pia tuvumiliane.

Bunge halitatulia mpaka tupate spika asiyetokana na chama fulani cha siasa. Haki sio tu itendeke bali ni lazima ionekane inatendeka. Haiwezekani Loyd Nchunga akachezesha mechi ya Yanga na Simba halafu haki ikaonekana kutendeka. TUNATAKA KATIBA MPYAAAA!!!!!!

Safi ikibidi hata walipige makofi jinga sana hilo Lissu, mabunge mapumbavu kama Lissu dawa yao makofi tu.

Yaani wewe na hilo avatar lako unakera sana! Je unaweza kuuthibitisha upumbavu wake? Mbona unachuki kiasi hicho? Alikunyang'anya mchumba nini?

Lissu alishawatukana wazanzibari jana wakati wa hotuba yake, vipi mkuki kwa nguruwe eeeeh!
<br /
Hebu taja hilo tusi hapa kama sio kujustfy ujinga!

Kama kuna kosa ambalo hatutamsamehe mwalimu Nyerer ni huu muungano na watu waajabu wenye matusi na majivuno kama wazanzibari,wakati umefika,sasa wakutengana kila mtu aingie kivyake kwenye shirikisho la Africa Mashariki

Asante sana umesema yote! Hawa watu wanakera sana! Kutwa wao kulalamika tu na kudai haki pasipo wajibu! Hiyo 'nchi' ni kama mkoa tu badala washukuru wamebaki kulalama! Wamejaa kila mahali huku bara wakifanya biashara zao bila bughuza lakini bado hawaoni wamebaki kuhaha sababu ya tetesi la mafuta. Hebu waishie waone kama tutapungukiwa!

wanzibari wamesema watashiriki kwa kila jambo linalohusu Tanzania liwe la Muungano au lisiwe la Muungano.hakuna serikali ya  Tanganyika kokote. tusiwaonee kwa udogo wao wa idadi ya watu. Akaja mwingine akasema Waislam wa Tz Bara wamekosa haki kwenye mambo mengi tuu yanayowahusu mfano mahakama ya KADHI, haki ya kuoa au kuolewa mara tu unapovunja UNGO au KUBALEHE haki hii wameikosa Wanataka Katiba Iwarudishie. nilishindwa kuvumilia kusikiliza hoja za aina hii za kutetea kutaka kuoa au kuolewa kwenye umri wa Kitoto.

Kuna haja ya kuwa na Tanganyika kabla ya kuwa na JMT.

Back
Top Bottom