Mwalimu Nyerere alifanya mambo mengi mazuri, lakini hili la kuleta muungano alikosea sana,sasa ona tabu aliyotuachia, siku muungano huu ukivunjika nitafurahi kupita maelezo.NAUCHUKIA SANA MUUNGANO.
jamani waki jilaumu ni sisi WATANZANIA "BARA & VISIWANI" ..... tunawachulia poa sana hawa CCM
kero za muungano zitakwisha CCM ikiondoka madarakani nukta!....
Muungano uvinjwe tubaki majirani wa nchi mbili kama uonavyo kenya na uganda!
maalim Barubaru naomba unijuze ni wapi alipokosea Lissu mpaka hao waheshimiwa wabunge wamewaka?
Uzuri wa muungani ni mmoja tu, kwa sisi wafanyakazi wa kuajiriwa tunapumzika kila terehe 26 April. tudumishe muungano wapendwa.
ukiona mtu mzima anaanza kukimbilia kutukana majina ya watu ujue ameshikwa pabaya!!
Na siku za nyuma walikuwa wanavunja ungo na umri gani?Siku hizi watoto wengi wa kike wanavunja ugo wakiwa na umri wa miaka 11 au 12!
Hunizidi mimi.siku muungano huu ukivunjika nitafurahi kupita maelezo.NAUCHUKIA SANA MUUNGANO.
ndio akasema mchakato wa katiba ukija WAZANZIBAR washirikishwe tu kuamua masuaala yanayohusu muungano.....lakini yale yasiyohusu muungano wasiyaongelee...na hata rais wa Zanzibar asiweze kuzuia maoni yasiyohusu Muungano
Nauchukia zaidi yako! Na wanaofanya niuchukie ni hao wazanzibari!