Ngoja tuone kama dai la katiba mpya kama litakufa kweli kwani watu wengi wameanza kuwa aware nalo baada ya hizi kamata kamataTuhuma ni baada ya upekuzi...kufanyika nyumbani kwake. Kama hana hatia mahakama itampa sitahiki yake.
Kwa hiyo kipofu huwa hana FIKRA?!!!!
TIS must select intelligent people, not just CCM-bound people with low intelligence.Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS
Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.
Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.
Tusubiri.
Uzuri ni kwamba kila kilichopangwa tulikijua kabla , Mimi nilikuwa wa kwanza kuandika kwamba MIPANGO YA POLISI KUMBAMBIKIA MBOWE MADAWA YA KULEVYA AU UGAIDI IMEKAMILIKA , Kwa bahati mbaya sana Moderator hakusoma alama za nyakati na kuamua kumerge uzi ule , unatakiwa ujue kwamba kila kinachopangwa tunakijuaBi mkubwa si mweupe....
Weupe ni wale wanaotumika kutaka kusababisha nchi isitawalike....
#KaziIendelee
sivizur kuongea tu, kwasbbu umepewa mdomo utumie vizur kujenga.mnajidai hamjui?muulizeni lissu!
Kabisa. Mvinyo ue ule kwenye chupa mpyaJuzi tu mlimsifia mama! Acheni chokochoko, ccm ni ile ile
Nigeria kuna ugaidi tena miundombinu ya watu wa mafuta na wafanyakazi wa kigeni wa makampuni hayo hutekwa na magaidi lakini uwekezaji kule unazidi kumea. Usititutishe wewe. Acha Mbowe achunguzwe kwa weledi na kina na polisi na kisha mahakama iachiwe ifanye kazi yake kwa haki. Akiwa hana hatia ama akikutwa na hatia mahakama itasema.Sawasawa kabisa. Tuone sasa kama kuna mwekezaji atakaye kuja kuweka pua yake kwenye nchi yenye magaidi kama Tanzania.
Ubongo unapohama kutoka kichwani kwenda kwenye saburi ni shida!
RBC banaa...umejaa conspiracy theories....🤣🤣Uzuri ni kwamba kila kilichopangwa tulikijua kabla , Mimi nilikuwa wa kwanza kuandika kwamba MIPANGO YA POLISI KUMBAMBIKIA MBOWE MADAWA YA KULEVYA AU UGAIDI IMEKAMILIKA , Kwa bahati mbaya sana Moderator hakusoma alama za nyakati na kuamua kumerge uzi ule , unatakiwa ujue kwamba kila kinachopangwa tunakijua
Endeleeni kuwa usingizini,hata wakati fulani ulikuwa mstari wambele kuwashabikia hawa maharamia kwa matendo yao dhidi ya wenye mawazo mbadala,bora kama naweumetoka usingizini.yote hiyo hofu ya madai ya Katiba mpya wanalazimika kurejea kwenye silaha yao kuu ya ubambikaji kesi.Naomba jeshi la police msituweke njia panda juu ya kesi ya Mh Mbowe! Wengi wanahusisha ni kesi ya kubumba iliyojaa usiasa tu na ndiyo maana mashinikizo yakutaka aachiwe yamekuwa mengi...
Mama ni ceremonial president, kuna watu nyuma yake ndio wanatawala nchi.
Mmoja wao ni huyo Sirro.
Ushamsikia mama anatoa Amri yoyote?
Ndugu,Mimi ni kibaraka wa utulivu na amani ya Tanzania.....
Waswahili wanasema "TAJIRI HAKUNJIWI NDITA"...
Jiongeze. Hakuna kitu hicho. Huo ni upotolo wa polisi.Plans za kuuza viongozi??
Duuh!!!
Now this sums up all...
Watanzania tutaendelea na harakati za ujenzi wa taifa letu sio kufanya vurugu.Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye...