Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

So Manny pacman had a shoulder injury(not completely healed shoulder ) going into the fight,according to the report.
 
Wanaosema Mayweather alikuwa anakimbia kimbia ni wazi hawajui boxing, au wanaijua lakini hawawajui boxers husika. Money anajulikana kama Defensive genius, a ring general, ukikutana nae lazima aitumie ring to his advantage na hapendi kichwa chake kiguswe. Alikutana na Attacking Machine, ila kam-neutralize Mshkaji mpaka kashindwa kufanya anachofanyaga kwa ufanisi.

Kifupi ni kwamba Money anajaribu kutengeneza mkwanja na legacy(kashatengeneza actually) while trying to fight responsibly ili badae afurahie mafanikio yake kwa muda mrefu. Ali hakuwa akiogopa ngumi, yuko wapi leo? Bomba za Foreman na wengine ndio zimemfikisha hapo. Mayweather hataki kuwa hivyo.

That may not be the greatest fight ever, but it's no doubt the greatest boxing event in history, hands down.
 
uko sawa mkuu ila meiweza amezaliwa kuja kuharibu utamu wa boxing kama mourinho alivozaliwa kuharibu soka,,, ujue kwa mimi na wewe huku mtaani hatufaidiki na ushindi wake wa point ispokua tunafrah akimpiga mtu mkubwa kama pacman kwa tko. we mwenyewe apo unafurah tu ilimradi ila moyon unajickia kuna ka walakin flan!! anyway bata wapi leo usherehekee ushindi na PERIOD zako??!

Pac alikuwa anarusha ngumi bila mpangilio karusha nyingi lakini ni 19% tu kati ya gumi 456 alizorusha
My weather 35% kati ya ngumi 347 onatofauti apo
 
pamoja na kanuni iyo,ukiangalia repray weather kapigwa ngumi nyingi kuriko pac,bora ili lile aliloshinda la 47 na Argentina boxer haa weather alipigwa hata uwezi amini matokeo leo kwa kuwa wengi walikua na tension ya kuona ndio imejulikana na hiyo sheria mm nilikua siijui baada ya kufatilia hii lugha ya annonymous decion ndio nikajua wanatumiaje ktk ngumi. Kama hili pambano lilovuta hisia za wengi matokeo ivi ya nyuma yale mengine si alibebwa live live ili kulinda record Tyson alisema pac yupo zaid ya weather.

Hahahaha
 

Attachments

  • 1430660444104.jpg
    1430660444104.jpg
    28.1 KB · Views: 159
Wamarekani wahuni..uwanja wao,refa wao,majaji wao,,,game mbovu nimepoteza usingizi wangu bureee....!!!
 
Kuna watu huwa mnachukulia mambo ya kipuuzi serious sana,sasa kulikua kuna umuhimu gani wa kumuhusisha mama hapo, pesa wachukue wengine povu likutoke wewe hata kaverossa hauna na kesho kuna mgomo pumbavu sana.

Hahaaa nimecheka sanaa
 
Kwa upande wangu manpac ni mzur zaid ya mayweather. Kama uliangalia lile pambano utajua. Ila kwa upande mwngne bado tyson ataendelea kukumbukwa zaidi
 
Holyfiel naye anakua kama hajui ngumi bana
Unawezaje kusema pac kashinda

Kwa macho ya wasiojua ngumi unaweza "kudhani" pac kashinda lakini kwa wanaojua ngumi huu ni moja ya ushindi mwepesi kabisa kwa may

I am a big Evander Holyfield fan and I can see where he is coming from.

Holyfield was never a boring fighter. Most of his fights were action-packed from start to finish.

Go watch his trilogy with Riddick Bowe. Watch his 3-round demolition of Buster Douglas. Watch his annihilation of Mike Tyson. Watch him spank big George Foreman.

They don't call him the Real Deal for nothing. He never danced around the squared circle or backed up.

So I understand why he feels that way. And he is not alone who expressed those sentiments.

Even Mike Tyson kind of echoed him.

On the other hand, Lennox Lewis thought Money won the fight fair and square. During his career, Lewis was a very cautious fighter and to me it's no surprise to hear him say what he said.

The goal of boxing is to hit and not get hit. Even if your strikes aren't significant (like Mayweather's).

If you are accurate with your punches and your opponent can't hit you as much, you win the fight.

So to me that was text book Mayweather. I have been following him/ his career since the 1996 Centennial Olympic games in Atlanta.

He has never been an exciting fighter. He does just enough to win without taking unnecessary risks or punishment.

Both he and Pacquiao finished the fight without any marks on their visages. It's like they were not in a fight.

Did he win that fight? Yes. But, did he win it in spectacular fashion? Not even remotely close.
 
Wanaosema Mayweather alikuwa anakimbia kimbia ni wazi hawajui boxing, au wanaijua lakini hawawajui boxers husika. Money anajulikana kama Defensive genius, a ring general, ukikutana nae lazima aitumie ring to his advantage na hapendi kichwa chake kiguswe. Alikutana na Attacking Machine, ila kam-neutralize Mshkaji mpaka kashindwa kufanya anachofanyaga kwa ufanisi.

Kifupi ni kwamba Money anajaribu kutengeneza mkwanja na legacy(kashatengeneza actually) while trying to fight responsibly ili badae afurahie mafanikio yake kwa muda mrefu. Ali hakuwa akiogopa ngumi, yuko wapi leo? Bomba za Foreman na wengine ndio zimemfikisha hapo. Mayweather hataki kuwa hivyo.

That may not be the greatest fight ever, but it's no doubt the greatest boxing event in history, hands down.
Salute mkuu, kuna kitu watu hawajui kuwa zile ngumi za kuacha mtu upigwe wee zimepitwa na wakati, siku hizi watu wanapigana kisayansi, mtu akiachia guard anapigwa moja bila-knock out, otherwise ni namna ya kutafuta point tu. Sasa hapo Mayweather ndo king of the ring, anapiga na kuondoka, hata uwezo wake wa kukwepa kama nyoka ni wa hali ya juu. Kwa style ya man Pacquiao nilijua ni ngumu kumpiga jamaa. Maana sio wa ile style ya piga nikupige. Halaf muda wote Mayweather anaweka distance kati yako, hataki k.o za suprise. Wanaopenda piga nikupige labda waangalie you tube pambano kati ya Lennox Lewis Vs Vladimir klischtko. Other wise nilitegemea hivi. Hakuna cha mtu kupendelewa wala nini, watu walikuwa na imagination zao tu
 
siwezi kukataa ushindi wa may.lakini ushindi wake siku hizi umekuwa wa kitoto na utata.hata kwa marcos hakushinda kama dume as alivyoelezewa na watu humu.ni mtu wa kukimbia kila dakika akikwepa kuangushwa.kuomba msaada wa kamba kila dakika ni bonge la udhaifu.angesimama nakufight sio kuruka ruka akisaka mchezo uishe wamarekani wenzie wampe ushindi.kwenye boxing anachokifanya ni upuuzi t

Mkuu kwenye boxing kuna mbinu nyingi.
Hata Ali (Bomaye) mwaka 1974, alitumia sana kamba wakati akipambana na George Foreman ktk "Rumble in the jungle ". Kilichotokea nadhani unaelewa.
 
Kwa mazingira ya sheria ya annonimous decision atapigana mpaka mapambano hata mia bila kupigwa, lile na m Argentina alipigwa na hili kapigwa..sheria inambeba.hana uwezo wa kupigana mapambano makali asipigwe kazuia muda woote.

Ukijua Sheria raha sana
 
ujue ata mi nilikua nawaza wangeweka sheria game kali kama hizi hakuna kuamua mshindi kwa point ni unapigwa mkono mpaka bondia aseme bas make ata mie naona mayweather ameshinda kwa mpango wa "saidia taifa stars ishinde"

Hiyo itakuwa sio boxing labda Kick boxing hiyo sheria yako inaweza ikafanya kazi.Kwa maana nyingine unataka kusema kama ingekuwa ni football vile hata kama unaongoza magoli na muda umeisha basi muendelee tu kucheza timu ambayo wachezaji watachoka na kusarenda hata kama wanaongoza kwa magoli wahesabiwe wameshindwa.Yaani unataka uwe ni mchezo wa kiholela holela tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom