Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Ahsante sana Mkuu, kusema kweli pamoja na pambano kuwa vile ambavyo wengi hatukutegemea lakini Money kashinda kihalali kabisa na Majaji wote watatu wamempa ushindi yeye. Manny kama underdog ameshindwa kufanya kile alichotakiwa afanye ili aweze kutwaa taji.
Shida ni kwamba hili pambano watu wamevamia mno, na wamekuja na hisia zaidi. Binafsi nilitaka Mayweather adundwe, ila nimeridhika na kila kitu. Well deserved fight, well deserved victory.
 
Boxing ni game.. Kama mpira wa miguu au tennis.. Kinachohitajika ni maujanja tu ya kucheza na score board #TMT

CEDt_jQWAAA8qjS.jpg
 
Uungwana ni vitendo. Manny kapigwa. Yeye alikuwa anashambulia gloves na akibahatisha ngumi mara chache. It was not an easy game, it was close lakini the best man won.

Hahaha raha sana. Best BAK najua team mayweather tulikuwa wachache sana. Same trick ya kuvizia and save his breath worked. Congrats mate
Shida ni kwamba hili pambano watu wamevamia mno, na wamekuja na hisia zaidi. Binafsi nilitaka Mayweather adundwe, ila nimeridhika na kila kitu. Well deserved fight, well deserved victory.
 
Last edited by a moderator:
wizi mtupu. Wacheza kamali walishapanga matokeo. Ngoja niendelee kushabikia football tu.
 
Mkuu umechambua kitaalam, ila hii game ilipangwa.
Yote yanawezekana.......Lakini huwa tunatofautiana katika kuutazama mchezo ingawa wote tunaangalia.....kwa namna kocha anavyoutazama mchezo ulingoni si sawa na mshabiki au mpenzi na kwa namna mcheza kamali anavyoutazama mchezo haiwezi kuwa sawa na mshabiki wa kawaida.....Kocha haangalii wingi wa ngumi zinazotupwa na bondia wake bali huangalia na accuracy ya target......pia huwa makini na defence skills ya bondia wake ili asipigwe ngumi nyingi....na hata kwenye pumziko kitu cha kumkumbushia huwa defence kwa maana ya kwamba anatakiwa apige ngumi itakayohit the target huku yeye akijitahidi kujilinda ili kumnyima mpinzani wake point......kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba kwenye BOXING..K.O huwa hazipangwi bali hutokea kila bondia apatapo nafasi ya kufanya hivyo.....lakini mzizi wa ushindi kwenye BOXING ni point tu.....hata lile pambano alilopigwa LENOX LEWIS na HASIM RAHMAN kwa K.O unaweza ukaona ni jinsi defence ilivyo muhimu kwenye mchezo wa BOXING....hook moja ya mkono wa kulia ndio iliyoamua mshindi katika mchezo ule....ingawa kama mchezo ungeendelea LENOX angeshinda maana alimuacha mbali sana mpinzani wake kwa point nyingi sana.......bondia mahiri hawezi kujisifia ushindi wa K.O kwani wao huwa wana amini kuwa uhodari na umahiri wa bondia unatazamwa baada ya round 12 kuisha..........
 
Utanisamehe cwez kumiheshimu Mayweather kama bondia. Yule co bondia wa ngumi nazozijua mm, yule ni mfanyabiashara wa ngumi. Boxing haiko vile, ujanja ujanja mwng na kukimbia kimbia tu. Pambano zima round 12 ngumi zilizorushwa zinahesabika. Hata 100 hazifik.

Afu mtake radhi the legeng Mohamed Ally kwa kumlinganisha na hy mjanja mjanja Mayweather tafadhal.
Manny Pacquiao:

It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys.
 
Boxing imepoteza muelekeo, wapi enzi za tyson, evender, mohamad alli, lewis na wengine????
Watu wanashinda kwa vipoint tu tena kwa kumgusa tu mpinzani wako sio kumshushia makonde, imefika wakati lightweight ni stori ya dunia, hatari sana! wala sijaenjoy bout lenyewe, nilitegemea a fierce fight ila nimekuwa dissapponted!
 
N kwelii mkuu mm mwenyewe nampaa heshima yakee kafanya kazi nzuri wanaobisha wakadhamin lirudiwe tenaa....
Sema ndio haiwezi kurudiwa tena, Money kasema amebakiza pambano moja tu September, halafu amemaliza. Nimefurahi leo jamaa kapigana na kuongea kiuanamichezo, masifa hayakumzidia.
 
Uungwana ni vitendo. Manny kapigwa. Yeye alikuwa anashambulia gloves na akibahatisha ngumi mara chache. It was not an easy game, it was close lakini the best man won.

Hahaha raha sana. Best BAK najua team mayweather tulikuwa wachache sana. Same trick ya kuvizia and save his breath worked. Congrats mate
Nuff said, nuff said.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom