Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Congrats to you too Best. Naona timupakiyao wamenuna sana wanadhani ushindi unapatikana kwa kurusha ngumi hewa lol!

mi nadhani shida ukiiangalia ni tabia ya money kukimbilia kamba ili asipigwe ko...pengine ni kweli kuku muoga kashinda but anachofanya kinaitwa boxing? nadhani ndio chanzo cha yeye kuzomewa.mbaya zaidi anajiita greater than Ali..anamjua ali kweli? ali wa "ali bomaye" money si fighter bali ni usain bolt wa boxing
 
Jay z hii dunia hatupo sawa jamaa ni tajiri na huku tena anafaidi apewe nini tena na Allah
CEDg4FyUkAAcEWt.jpg
 
Pambano limepiganwa ili kutengeneza mazingira. Ya kuweka mabishano ili pambano litakalo fuata liwe na ushabiki Sana na wacheza kamali wataweka madau makubwa, matangazo yatalipiwa kwa hela nyingi na huenda pambano lijalo likavunja rekodi ya mapato
 
siwezi kukataa ushindi wa may.lakini ushindi wake siku hizi umekuwa wa kitoto na utata.hata kwa marcos hakushinda kama dume as alivyoelezewa na watu humu.ni mtu wa kukimbia kila dakika akikwepa kuangushwa.kuomba msaada wa kamba kila dakika ni bonge la udhaifu.angesimama nakufight sio kuruka ruka akisaka mchezo uishe wamarekani wenzie wampe ushindi.kwenye boxing anachokifanya ni upuuzi t
 
kama ujui ngumi isichangie mada kupiga sana chenga ndio kushinda mechi ya mpira wa miguu
 
I always believed in Floyd.... amenipa sababu nyingine ya kumuona LEgend.
 
Kwa mazingira ya sheria ya annonimous decision atapigana mpaka mapambano hata mia bila kupigwa, lile na m Argentina alipigwa na hili kapigwa..sheria inambeba.hana uwezo wa kupigana mapambano makali asipigwe kazuia muda woote.

Kwanza rudi shule ukasome kiingereza ndio useme mbele ya watu.
Anonimous ni mtu ambae hajajulikana. neno sahihi hapa ni UNANIMOUS. yaani matokeo ya majaji walio wengi.
Hebu nenda BBC ukaangalie statistics za mchezo ndio uje uongee. Pacquiao amedundwa kisawasawa.
siku nyingine jitahidi kua na FACTS kabla hujajionyesha kwamba hujui.
 
the thing is.. usipomdondosha Mayweather kwenye round ya tatu, atakushinda tu hata kwa points, and the nigga made it.
 
Whaaaaaaaaaaaaaaat????? I'm 32, nitakua nimechelewa sana kuanza ngumi? Nimepata wivu sana. Ha ha haaaaaa.
Hahahaha mkuu basi tena hapo ndio JUA LISHAZAMA tayari subiri pensheni yako tu.

siwezi kukataa ushindi wa may.lakini ushindi wake siku hizi umekuwa wa kitoto na utata.hata kwa marcos hakushinda kama dume as alivyoelezewa na watu humu.ni mtu wa kukimbia kila dakika akikwepa kuangushwa.kuomba msaada wa kamba kila dakika ni bonge la udhaifu.angesimama nakufight sio kuruka ruka akisaka mchezo uishe wamarekani wenzie wampe ushindi.kwenye boxing anachokifanya ni upuuzi t

Mkuu acha kuandika gazeti, we chenga twawala wenzako wanaangalia Magoal. Jana mie mwenye Man U nimepigiwa goal na ball possession ilikua 80%-20%
 
Nilichojifunza wengi humu hawajui kabisa ngumi wao wamekalia kusema mayweather kapigwa kwa kigezo eti PAC kalusha ngumi nyingi kupiga ngumi nyingi si kigezo cha ushindi kama hazifiki sehemu zenye point.

Pili. Eti mayweather anakimbia nadhani kama si mfatiliaji wa ngumi utasema anakimbia ila hiyo ni mbinu ya kukwepa makonde kutoka kwa mpinzani wake na hii ndiyo njia kuu mayweather amekuwa anaitumia sana
 
Ushindi wa point, ushindi wa penalty, ushindi wa mezani, ushindi wa goli la mkono
Yote ni ushindi tu
Team paqciao
 
Kwanza rudi shule ukasome kiingereza ndio useme mbele ya watu.
Anonimous ni mtu ambae hajajulikana. neno sahihi hapa ni UNANIMOUS. yaani matokeo ya majaji walio wengi.
Hebu nenda BBC ukaangalie statistics za mchezo ndio uje uongee. Pacquiao amedundwa kisawasawa.
siku nyingine jitahidi kua na FACTS kabla hujajionyesha kwamba hujui.

Na wewe acha kuja na maneno ambayo hayapo kwenye kiingereza neno sahihi ni anonymous.Hilo uliloandika ni kiingereza cha sitimbi.
 
Kiukweli Myweather kajitahidi sana round ya 5 na 9... huku kwingine chenga tu.. anapaki basi mbele ya familia hadi Myweather Sr anamfokea.

#team_pacMan

Tatizo poti upenzi umezidisha. Floyd alikua bora kuliko Paqc amejirinda vzr sn na ameshambulia point nyingi kuliko Paqc Na pia Leo kwa Mara ya kwanza ndio nimeona Paqc kalazimishwa kuacha aina ya uchezaji wake Na kucheza kwa kumfata mwenzake. Maana Na yeye kajilinda hakua Na kasi ya kushambulia alienda kwa akili kila round tofauti Na mapambano mengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom