Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Ujinga Ujinga tu Weather kashindaje pale? Uzuri sijapoteza hata thumni yangu kwenda bar, zaidi ya kuamka saa 11, Ngoja nsubiri Simba na Azam tu....
 
Mlitaka mayweather ashinde kwa style gan sasa Kama pac mwenyewe kalizika kashindwa kwa pointi nyie ni kina Nani mpaka mnakataa ushindi.mwacheni dogo aendelee kubadilisha magari na Malaya wabongo acheni hizo
 
Pamoja na Money kushinda hili haliwezi kulinganishwa na mapambaono kama yale ya Ali na Foreman, Ali Frazier na yale ya Tyson akiwa kwenye peak.

Angalia ESPN sasa hivi...Holyfiled anahojiwa...

Ni kama yuko disappointed na Floyd.

Kasema "it takes two to fight".
 
Latest

05.57

Here's Gareth A Davies on the scoring.

The judges had it 118-110 ,116-112, 116-112. The first score is too wide, but I don't disagree with 116-112. I had it 115-113. Would still like to see a second fight - but not if it takes 5 and a half years.

Here's our boxing correspondent Gareth A Davies's round-by-round verdict. He had it very close

05.54

Here's Manny Pacquiao:

It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys.

05.51

Here's Floyd Mayweather speaking, to a solid chorus of boos:

First off, I want to thank God. I want to thank all the fans around the world. This was a hell of a fight. I take my hat off to Manny Pacquiao, now I see why he is one of the guys at the pinacle of boxing. I am truly blessed. Manny Pacquaio is truly blessed. I am a calculating fighter. He is a tough competitor. I had to take my time with him. My last fight is in September.
 
fight-bow-wow_3289864k.jpg

Hahaha Bow Wow na Sponsor.
 
Kwa mazingira ya sheria ya annonimous decision atapigana mpaka mapambano hata mia bila kupigwa, lile na m Argentina alipigwa na hili kapigwa..sheria inambeba.hana uwezo wa kupigana mapambano makali asipigwe kazuia muda woote.
 
khe khe khe khe Judges alikuwa wanacount Mayweather footsteps not punches.. Wewe haitokuuma maana ulikuwa unasubiri mshindi basi urudi kulala.. Ila wale jamaa zangu waliokesha bar kusubiria pambano badala ya kulala na kuamka saa 12 kama nawaona walivyomind..

Ha ha ha ha teh teh teh lazima mtakua walalamishi tu kutafta visingizio.Yani nikefurahi sana waliokesha bar tangia SAA Tisa na kuweka bond mtu wao kapigwa pole yao.May money kiboko mkaanza kusema Mara oooh maigizo mda ndo umeamua.Ngoja nikauponde usingizi wangu kiroho safi.Ukiona manyoya jua ameliwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ah wapi!

Siwezi ku-wager chochote ktk masumbwi.

Ona kamaa huu upuuzi ulioisha?

Yaani niliwe hela kirahisi hivyo? Nope.

Naona dollar mia yako ya package imeenda kitapeli kaabisa mkuu!wazungu wababaishaji sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom