Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Floyd about to join the disabled, baby...
wanapiga pesa za ukweli. In propaganda tuHivi sikuhizi mbona watu wa heavyweight hawasikiki kama enzi za kina Tyson badala yake wanasikika watoto wadogo hawa?
Uwe mstaarabu acha ujinga. Mambo ya kubishana haya ndo mhusishe mama wa mwenzio. Ifikie kipindi tuheshimu wazazi. Jiulize ingekuwa wewe unatajiwa mzazi wako kwenye mambo ya kipuuzi kama haya utajisikiaje!
Uwe mstaarabu acha ujinga. Mambo ya kubishana haya ndo mhusishe mama wa mwenzio. Ifikie kipindi tuheshimu wazazi. Jiulize ingekuwa wewe unatajiwa mzazi wako kwenye mambo ya kipuuzi kama haya utajisikiaje!
Tatizo poti upenzi umezidisha. Floyd alikua bora kuliko Paqc amejirinda vzr sn na ameshambulia point nyingi kuliko Paqc Na pia Leo kwa Mara ya kwanza ndio nimeona Paqc kalazimishwa kuacha aina ya uchezaji wake Na kucheza kwa kumfata mwenzake. Maana Na yeye kajilinda hakua Na kasi ya kushambulia alienda kwa akili kila round tofauti Na mapambano mengine.
Manny Pacquiao:
It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys.
Nah.
Look who got his ass whooped.
Hivi kwanini hawa jamaa walipigana?
licha ya pambano kutokidhi mategemeo waliyokuwa nayo watazamaji wengi lakini bado Mayweather kashinda ukisoma takwimu za majaji labda kama takwimu hizi si za kweli....
weka hela yako kwa Mayweather...huyu anamashambulizi ya kushustukiza na wote waliompiga Pacqiao wanatumia style kama yake.
Paqc anasumbua sn akiwa uringoni lkn kwa hivi karibuni ameshuka kidogo...mchezo utakua mkali sn na Wa vuta nikuvute lkn mwisho Wa siku Floyd hatoruhusu zile ngumi nyingi za Paqc ziguse kichwa chake kwasababu jamaa anajua kukwepa ngumi ni mwepesi akiamua jamaa ana radha zote....
Mi nasema wazi km Paqc atashinda labda kwa point tu lkn vinginevyo Paqc lazima apigwe kwa KO mbaya
Daaah ni kweli kamanda, yani siko na furaha ya ushindi mtu mweusi mwenzangu.. lakini i think kuna reason nyigi behind.
turudi darajani baba
Kwa mazingira ya sheria ya annonimous decision atapigana mpaka mapambano hata mia bila kupigwa, lile na m Argentina alipigwa na hili kapigwa..sheria inambeba.hana uwezo wa kupigana mapambano makali asipigwe kazuia muda woote.
Haya bwana kaka zangu nimewakubali.
Mmetisha saaana!
:thumbup::thumbup::thumbup:
Ujinga Ujinga tu Weather kashindaje pale? Uzuri sijapoteza hata thumni yangu kwenda bar, zaidi ya kuamka saa 11, Ngoja nsubiri Simba na Azam tu....