Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

waache kudanganya watu, wote tumeangalia, hiyo round ya kwanza na ya tatu, ngumi alizorusha maywether hazifiki hata sita.

Kiukweli Myweather kajitahidi sana round ya 5 na 9... huku kwingine chenga tu.. anapaki basi mbele ya familia hadi Myweather Sr anamfokea.

#team_pacMan
 
pole za pekee kabisa ziende kwa Skip Bayless..............kaumia kotekote.....
 
CEDqjj4UkAA6yEe.png

hizi nazo chenga tu.. mabondia wale wa Ukraine hawasikiki tena kisa huyu mshindi wa kutengenezwa.. mfanya biashara za ngumi.. mpaki basi.
 
Holyfield anasema alidhani Pacquia kashinda.....

Holyfiel naye anakua kama hajui ngumi bana
Unawezaje kusema pac kashinda

Kwa macho ya wasiojua ngumi unaweza "kudhani" pac kashinda lakini kwa wanaojua ngumi huu ni moja ya ushindi mwepesi kabisa kwa may
 
wamarekani kwel hawashindwi kitu,fitna pia wako vizur hivi katika ulimwengu wa sasa unaweza kumdanganya mtu?pumbv kwel hawa man pac kashinda kwa mtu aliefuatilia mwanzo mwisho,au kama vigezo vya ushindi vimebadilika ni vyema tukajuzwa mtu kupanch tu kashinda kheee
 
Watu watasema 'it takes 2 to fight' kwa sababu ni Mayweather, ila watasifia 'Rumble In The Jungle' wakati ni Foreman tu ndio alipigana. Kwa upande wangu ile ndio ilikuwa bonge ya injustice kwenye historia ya ngumi, Ali robbed boxing.

Tatizo watu wameanza kufatilia ngumi juzi,na baada ya pambano hilo la zaire Ali hakuwahi kumpa foreman Rematch,wakat wakina Fraizer wote Alikubali kurudiana nao...nawashangaa ambao hawampi may heshima yake
 
mvuto hamna bora niangalie mieleka sio ujanja wa majaji...eti pointi!! zipi ???mtu anadefence tuu..bora zamani wakina muhammed ali sio uhuni huu...kupaki basi ni ushindi siku hizi..

Ndioo kubakii bac n ushindi kwan uwaonagi Chelsea mkuu
 
The three judges, Burt Clements and
Dave Moretti from Nevada and Glenn
Feldman from Connecticut, scored
the fight at 116-112, 118-110 and
116-112 in Mayweather's favour
respectively.
 
sijawahi kuona dhulma kama hizii mayweather anaharibu ngumii... Na kwa staili hii pesa inaongea sio ngumi hatutafika
 
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?
Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengeza
Pac ni mtoto
Go Floyd
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom