Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

I thought it was supposed to be the fight of the century! That was pathetic! May alikuwa anakimbia tu ulingoni round zote 12 kama nilivyosema kabla ya game halijaanza.. Alafu anajifananisha na Mohamed Ali..defence before attack and attack when ur enemy lose a chance hiyo ni qoet ya muhamed alli yeye ndo bingwa wa kucheza na ring anakimbia muda wote
 
Wote wale ambao wamemkataa may nafikiri kunakitu moja ambacho wamekosa uzalendo wa rangi hawana tofauti na waafrika kusini hawana tofauti na wake na mademu zako wanao ukana uafrica huku wakituvalia mawigi ,waving na kaxalika ili mradi tu kuonekana kuwa yeye cyo mwaafrica nitaendelea kuipenda rangi yangu na weusi nyeusi ndo rangi inayonivutia sana hata sanda nizikwe na nyeusi
 
Black lipstick please!
avatar163088_2.gif
heheheeee! kidding buddy!
 
Tulikuwa tunafuatilia pamoja, bega kwa bega. Mkikutana wote kichaa chenu kinafanana hamuhitaji dawa, manake kichaa kinawaweka pamoja
kheeee
na wewe upo hapa unafatilia mingumi,sasa shemeji umemuacha na nani?"ene wei"karibu.
Jee wewe ni team "money" or team "pac"?
 
Let's get it straight.

Pacquiao hakupigwa.

Alishindwa kwa pointi tu.

Yeye na mpinzani wake hakuna aliyetokwa hata na tone la damu.

Hakuna aliyechanika au kupasuka uso.

Wote walitoka kama walivyoingia, nyuso zao zikiwa hazina alama yoyote ile.

Wapenzi wa kweli wa masumbwi tumeshaona vipigo vya ukweli.

Jana hakukuwa na kipigo cha aina yoyote pale.

Hata katika 20 bora ya mapambano mazuri ya masumbwi, mpigano wa jana hauwezi kuwemo.

So go figure!

Nakuunga mkono! Dunia jana imepigwa changa macho! Hilo haliwezi kuwa ni pambano la karne! bali ni DILI la karne! Watazamaji hawakuona thamani ya pesa yao waliyolipa na thamanani ya muda wao waliotumia kungoja na kutazama Hilo pambano! Hivi ni kweli mtu aliyelipia DSTV premium package sh. 168,000/=ili alione hilo pambano sebuleni kwake mwisho wa siku atasema fedha yake ameifaidi? Hivi ni kweli mtu aliyeamka saa kumi alfajiri ili awali nafasi mwisho wa siku atasema mapambano ulistahili usumbufu wote huo?
 
He he he, usiniambie hukulala unafuatilia mpambano?

Kikubwa ni ku enjoy bana the way you see it fit. Talking of Top gear, eti yule mbaba kafukuzwa kazi, anayeongoza kipindi anaitwa Jeremy? Yule kijana kanipa update hizo.

Kuna new cartoon in town, nitakuambia jina lake later, na ku invite pia for a cartoon movie date nyumbani, uje na drinks tu.:becky:

I enjoy my life and i never categorize as it being anything. I also watch top gear and follow up car racings and football. I dont blame the poor gal kwa kunishangaa hahaha.

Cc Kongosho (usiseme naangalia cartoon pia)
 
Acha kuongeza chumvi banaa, dunia gani unayoishi wewe? ya kusadikika? Sema baadhi wanapinga ushindi lakini siyo kuongeza chumvi eti dunia nzima.

Suala siyo dunia nzima, bali pambano lenyewe Halikufikia viwango vinavyostahili kwa pambano lililoitwa la karne! Lilikuwa na msisimko sifuri mwanzo mwisho! Mimi nilitarajia hivyo mapema nikalipa jina la mpambano wa wavulana! Watu waliwasikiliza wapiga dili wakaona kila anayesema kitu tofauti hajui kitu! Ulitegemea nini kutoka kwa mabondia wa kilo 66! Ulitaka kuona masumbwi kama ya Tyson? Kama ni hivyo basi ulikuwa unasubiri ndege bandarini! Wajanja wamepiga dili la karne na mabondia wote wawili ni kama wameokota hiyo pesa! Hakuna hata mchubuko! Hata mapambano ya Matumla huwa na msisimko kwa mashabiki kuliko tulichoshuhudia jana!
 
I want a REFUND. What a joke!.

Umeliwa na hauko peke yako! Kuna watu wamelipa 168,000/= dstv ili waone pambano sebuleni kwao na karaha ya kusubiri kwa muda mrefu! Kuna watu wamesafiri umbali mrefu kwa mamilioni ya pesa wakaambulia kuwatazama wavulana wawili wakirukaruka na kudonoana kwa ngumi kwa dakika 36! Wengine tulishtuka tukaamua tulisubiri watu walitupie you tube! Dakika chache baada Ya pambano tayari likaonekana you tube!
 
Suala siyo dunia nzima, bali pambano lenyewe Halikufikia viwango vinavyostahili kwa pambano lililoitwa la karne! Lilikuwa na msisimko sifuri mwanzo mwisho! Mimi nilitarajia hivyo mapema nikalipa jina la mpambano wa wavulana! Watu waliwasikiliza wapiga dili wakaona kila anayesema kitu tofauti hajui kitu! Ulitegemea nini kutoka kwa mabondia wa kilo 66! Ulitaka kuona masumbwi kama ya Tyson? Kama ni hivyo basi ulikuwa unasubiri ndege bandarini! Wajanja wamepiga dili la karne na mabondia wote wawili ni kama wameokota hiyo pesa! Hakuna hata mchubuko! Hata mapambano ya Matumla huwa na msisimko kwa mashabiki kuliko tulichoshuhudia jana!

Tumeliwa hela yetu na hao matapeli wawili.

Sasa hivi huko waliko wanachekelea tu.

Inasemekana Mayweather baada ya pambano alikuwa anawaonyesha waandishi wa habari hundi yake ya dola milioni mia moja.
 
He he he, usiniambie hukulala unafuatilia mpambano?

Kikubwa ni ku enjoy bana the way you see it fit. Talking of Top gear, eti yule mbaba kafukuzwa kazi, anayeongoza kipindi anaitwa Jeremy? Yule kijana kanipa update hizo.

Kuna new cartoon in town, nitakuambia jina lake later, na ku invite pia for a cartoon movie date nyumbani, uje na drinks tu.:becky:

Naomba na Mimi mwaliko wa kutazama cartoon. I won't let all of you down
 
Hivi kwanini hawa jamaa walipigana?

Hawakupigana chochote kwa namna tulivyozoea! lakini walipigana! Ukigusa tu uso wa mtu hiyo inahesabika ni pointi japo hakuna anayesisimliwa na upiganaji huo! Upiganaji wa karne! Ukirukaruka na muda wote unalinda uso usiguswe muda unasonga mbele! Mwisho wa siku mtu anakwenda kutumia alichochuma na siyo kwenda kuuguza majeraha! Dunia imeingia mkenge! Cha kujiuliza ni je pambano hilo limekidhi matarajio ya mashabiki kulingana na pesa na muda walizotoa? Jibu ni hapana!!!!
 
Wote wale ambao wamemkataa may nafikiri kunakitu moja ambacho wamekosa uzalendo wa rangi hawana tofauti na waafrika kusini hawana tofauti na wake na mademu zako wanao ukana uafrica huku wakituvalia mawigi ,waving na kaxalika ili mradi tu kuonekana kuwa yeye cyo mwaafrica nitaendelea kuipenda rangi yangu na weusi nyeusi ndo rangi inayonivutia sana hata sanda nizikwe na nyeusi
hapo ndipo unapoleta urasisti mkuu hapa hapaja ongelewa rangi wa kabila tunaongelea ngumii wee vp ushapiga viroba nin
 
jamaa wenyewe sifa tu halafu eti anajifananisha na mohammed ali kwa kupigana kwa kukimbia kimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom