Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

boxing.jpg

Ailp_In_IHZmcwe_Hnj3i3_K3z_FS0r_E9_Pg_Kt_YUGnya_Sqm_Ft_I.jpg

Tatizo kubwa la WBO na WBC majaji wengi ni corrupt. Ukiangalia hela ambazo wamelipwa sitashangaa kusikia Mayweather alihonga majaji kununua pambano. Wale jamaa ni kama Illuminati tu hawashindwi kuharibu pambano kwa kugawa point kwa Mayweather. Bado siamini mpaka leo kuwa Pacman ameshindwa lile pambano. KATU Siamini
 
Tangia mpambano uishe sijaona picha popote zaidi ya mbili zinazoonyesha ngumi ya pacman imetua ktk uso wa mayweather
 
Tatizo kubwa la WBO na WBC majaji wengi ni corrupt. Ukiangalia hela ambazo wamelipwa sitashangaa kusikia Mayweather alihonga majaji kununua pambano. Wale jamaa ni kama Illuminati tu hawashindwi kuharibu pambano kwa kugawa point kwa Mayweather. Bado siamini mpaka leo kuwa Pacman ameshindwa lile pambano. KATU Siamini

Ongea kwa vielelezo acha ujuha
 
Winners win and losers have excuses by Maymoney
 
Ongea kwa vielelezo acha ujuha

Mtu yeyote asiye jua boxing au akawa anajua na hampendi Maymoney ndio ataishia kusema pambano lile May kapendelewa

Wenzetu huko mbele wanalalamikia style ya upiganaji ya May sio nzuri na haivutii sisi tumeng'ang'ania eti alipigwa

Hivi sasa video zipo kibao youtube watu wadowload na waangalie tena na wajifunze point zinahesabiwaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom