Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Style make fight jombaa,speed,foot movement,agressivenes,southpaw stance,stamina will be to much for trash talker mayweather to handle, i wili go for Pacman for this one...pacman pacman pacman all the way.
 
Zimebaki siku kumi tu tujionee nani mkali? Ukumbi utafurika safari hii, ingawa hakuna aliepata tiketi sijui zitafika $ ngapi? Pac anaweza kumchapa jamaa kwa muono wangu wewe je

Km Marquez alimchapa Paqc kwa KO mbaya kabisa kwanini Floyd Mayweather ashindwa na ana ngumi nzito kuliko Paqc?
 
Km Marquez alimchapa Paqc kwa KO mbaya kabisa kwanini Floyd Mayweather ashindwa na ana ngumi nzito kuliko Paqc?

Konde la bahati,mpaka ko inatokea Marguez alikuwa nyuma kwa point,lewis alipoteza kwa Rahman kule SA kwa hiyo luck punch,katika rematch Rahman akapigwa kwa ko 5round,Rick Hatton alipigwa na Mayweathear ko ya round ya 11,alipocheza na Pacman akapoteza kwa Round 2...
 
Nimejaribu kuangalia mapambano ya Pacq ,ni mtu amabaye ana speed saana za kurusha ngumi .

Money whether , ni mtu ambaye anayerusha ngumi kwa kufanya Timing .

Zote hizo ni technique za mchezo wa ndondi.

Lakini nampa advantage kubwa Saana Pacq ... kwa technique yake
Japo Round zitaenda mpaka Round ya 9 .But it will be KO.
 
Man pacq yeye anangumi za haraka sana na pia baada ya kupiga anapumzika kwenye kambaa akivuta pumzi sasa baba may weather awez acha MTU anasubiri kwenye kambaaaa!!!!?
Pacq anapigika vizuri sanaaaa
Kocha wa pacq anajaribu kumuelekeza abadili staili ya mguu wa kulia mbele na kupigia mkono shoto....
 
Konde la bahati,mpaka ko inatokea Marguez alikuwa nyuma kwa point,lewis alipoteza kwa Rahman kule SA kwa hiyo luck punch,katika rematch Rahman akapigwa kwa ko 5round,Rick Hatton alipigwa na Mayweathear ko ya round ya 11,alipocheza na Pacman akapoteza kwa Round 2...

Iwe bahati au vp ninachoseama Paqc alipigwa. Na huu mchezo upo uwezekano mkubwa Wa Paqc kupigwa kwa ko mbaya tena maana Floyd Mayweather sio km Marquez.
 
Iwe bahati au vp ninachoseama Paqc alipigwa. Na huu mchezo upo uwezekano mkubwa Wa Paqc kubwa kwa ko mbaya tena maana Floyd Mayweather sio km Marquez.
mi niko upande wako ingawa sina sababu nyingi za msingi, kila nikikaa naona man pac anapigwa
 
weka hela yako kwa Mayweather...huyu anamashambulizi ya kushustukiza na wote waliompiga Pacqiao wanatumia style kama yake.

Floyd ni mwepesi sn tu alafu anajua kujilinda vzr sn kwahiyo Paqc akija na kasi zake zile ataambulia patupu na ninahisi Paqc atabadili mbinu hatokua anajiachia kushambulia Floyd. Na km mnamuona Paqc tangu apigwe na Marques kiwango chake kimeshuka hayuko km zamani.....

Mimi namuaminia sn Floyd kwasababu jamaa anacheza michezo yote huyu iwe kasi au taratibu na kwa hii game atakua ametrain kua na kasi km Umeme kiasi nahisi ktk zile round 5 za mwanzo Paqc lazima alambe sakafu.
 
weka hela yako kwa Mayweather...huyu anamashambulizi ya kushustukiza na wote waliompiga Pacqiao wanatumia style kama yake.

Kuna cd naangalia hapa ni collection ya mapambano yote makali ya Pacqiao dah!
Bora nibaki neutral naogopa kuumia nikiweka matumaini yangu kwa mmoja wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom