swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Mpambano umeisha na mzizi wa fitina Kwisha
Mshindi ni FLOYD MYWEATHER
Umekuja mbio utafikiri wewe ni mshabiki wa box.hata jina la kuandika hujui.MAYWEATHER
Swissme
Mpambano umeisha na mzizi wa fitina Kwisha
Mshindi ni FLOYD MYWEATHER
wamarekani kwel hawashindwi kitu,fitna pia wako vizur hivi katika ulimwengu wa sasa unaweza kumdanganya mtu?pumbv kwel hawa man pac kashinda kwa mtu aliefuatilia mwanzo mwisho,au kama vigezo vya ushindi vimebadilika ni vyema tukajuzwa mtu kupanch tu kashinda kheee
Bora hata like pambano la Wema sepetu na wolper (mnisahihishe nikiwa nimekosea) pale Taifa kwenye lile Tamasha miaka ileee
Acheni akiri mgando bwana kurusharusha ngumi hovyo usifikiri ndo kushinda,hizi city ngumi za mtaani kama kwao Dia,Nmecheki round zote PAC karusha ngumi nyingi xana na yko faster xana,xema hatumii akr Floyd ana akr na technic nyingi xana,anakwepa xana anajrinda xana na Ana accuracy na ngumi zake. Ndo maana kashinda, Mwenyewe alijua anapointi nyingi ndo maana kaanza kushangilia Mara tu kuisha kwa round ya mwisho, Kila kitu shule na hili halina ubishi Floyd anatumia akiri xana!

Kabisa, hili pambano lilikuwa kali zaidi ya hili lililokiwa na mamilioni. Mayweather hamuwezi hata Wema ktk aina zote za ulingo.
Watu wengi wanalaumu kwasababu mambo hayajaenda kama ambavyo walitaka....
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?
Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengeza
Pac ni mtoto
Go Floyd
ujue ata mi nilikua nawaza wangeweka sheria game kali kama hizi hakuna kuamua mshindi kwa point ni unapigwa mkono mpaka bondia aseme bas make ata mie naona mayweather ameshinda kwa mpango wa "saidia taifa stars ishinde"
Nazan wengii wali bet PAC ashindee lkn ndio hvyo kitumbua kimeingiaa mchangaa