Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,273
Tumeliwa... Well, It's past 1 in the morning, sayonara people!.Angalia ESPN sasa hivi...Holyfiled anahojiwa...
Ni kama yuko disappointed na Floyd.
Kasema "it takes two to fight".
Tumeliwa... Well, It's past 1 in the morning, sayonara people!.Angalia ESPN sasa hivi...Holyfiled anahojiwa...
Ni kama yuko disappointed na Floyd.
Kasema "it takes two to fight".
So? Sioni ni kwa namna gani inamfanya Manny awe ni mshindi. Watu wanaamini Mungu na wanauawa kwa ajili ya imani zao, huoni kwamba hiyo ni kubwa zaidi ya hii ya kupoteza mechi ya ngumi?Manny believes in God(according to him), + ana nchi nzima nyuma yake inamuombea mazuri kwenye hili pambano. Kwa upande wa Money, ye anaabudu money, period.
wewe unafurahishwa na pambano lilivoenda kulingana na kelele za media
Ha ha ha ha teh teh teh lazima mtakua walalamishi tu kutafta visingizio.Yani nikefurahi sana waliokesha bar tangia SAA Tisa na kuweka bond mtu wao kapigwa pole yao.May money kiboko mkaanza kusema Mara oooh maigizo mda ndo umeamua.Ngoja nikauponde usingizi wangu kiroho safi.Ukiona manyoya jua ameliwa.
Naona dollar mia yako ya package imeenda kitapeli kaabisa mkuu!wazungu wababaishaji sana
Hata manyoye yenyenyewe hayajabakizwa jamaa kala mpk manyoye
Huyo na wife to be wake Mkuu.
Ah wapi!
Siwezi ku-wager chochote ktk masumbwi.
Ona kamaa huu upuuzi ulioisha?
Yaani niliwe hela kirahisi hivyo? Nope.
kwani ye anasemaje