Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

I'll never watch any of Mayweather's fight again.. Nilishasema May atakuwa anakimbia kimbia tu kama kawaida yake
Manny Pacquiao:

It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys.
 
mvuto hamna bora niangalie mieleka sio ujanja wa majaji...eti pointi!! zipi ???mtu anadefence tuu..bora zamani wakina muhammed ali sio uhuni huu...kupaki basi ni ushindi siku hizi..
 
Shida ni kwamba hili pambano watu wamevamia mno, na wamekuja na hisia zaidi. Binafsi nilitaka Mayweather adundwe, ila nimeridhika na kila kitu. Well deserved fight, well deserved victory.

Hela aliopiga Mayweather, hakuna timu ya soka duniani iliofikia kuwalipa mshahara wachezaji wake kwa full season.
 
Bottom line, Money stuck with his game plan, and delivered. Manny tried to stick to his game plan, failed to deliver. Deuces!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Katika shindano tumia mbinu zote zilizo ndani ya kanuni za shindano husika ili ushinde! Sasa nashangaa watu wanakuja na wishes kibao eti bila sheria Manny angeshinda, mara ooh "MONEY" kabebwa! Halafu baadae wanamaliza kwa kusema sheria zinamruhusu! Myweather kamshinda Manny, PERIOD!

pamoja na kanuni iyo,ukiangalia repray weather kapigwa ngumi nyingi kuriko pac,bora ili lile aliloshinda la 47 na Argentina boxer haa weather alipigwa hata uwezi amini matokeo leo kwa kuwa wengi walikua na tension ya kuona ndio imejulikana na hiyo sheria mm nilikua siijui baada ya kufatilia hii lugha ya annonymous decion ndio nikajua wanatumiaje ktk ngumi. Kama hili pambano lilovuta hisia za wengi matokeo ivi ya nyuma yale mengine si alibebwa live live ili kulinda record Tyson alisema pac yupo zaid ya weather.
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako zinafikia target zenye kukuwezesha kupata point....?? nikimtazama bondia wangu leo PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale watakuwa wameshanielewa....niliwahi kusema kuwa defence skills ya PACMAN haiko makini ndio maana huwa anatumia muda mwingi kutupa makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia huku akimfanya adui asimkaribie....lakini pia ana udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama Mayweather haziwezi kuwa na madhara......kitu kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika wa kulenga target kila apatapo nafasi.....kushambulia muda mwingi kwa kutumia jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru mchezoni.....na kufanya counter attack zenye mafanikio..........THAT IS BOXING GAME

Salute mkuu.watu wanadhani kurusha. ngumi nyingi ndio ushindi.Ni sawa na kudhani mwanafunzi anayejaza booklet nyingi kwenye mtihani ndio mwenye maksi nyingi.
 
mvuto hamna bora niangalie mieleka sio ujanja wa majaji...eti pointi!! zipi ???mtu anadefence tuu..bora zamani wakina muhammed ali sio uhuni huu...kupaki basi ni ushindi siku hizi..

Jamaa katumia mfumo wa chelsea anapaki basi na chenga kidogooooooo!
 
Ulitaka afanye unavyotaka wewe apigwe siyo? Ngumi ni Akili siyo pupa kama Mbunge wenu anachiwa uso akijipendekeza 2 anakula ya kidevu Big up sana mtu mweusi
 
CEDqjj4UkAA6yEe.png

Jabs my arse!
yaani hizo jabs wala haziwezi hata kumtoa facial make up alizopaka Wema Sepetu, boxing imepoteza mvuto kwangu!
 
Boxing ni game.. Kama mpira wa miguu au tennis.. Kinachohitajika ni maujanja tu ya kucheza na score board #TMT

CEDt_jQWAAA8qjS.jpg

waache kudanganya watu, wote tumeangalia, hiyo round ya kwanza na ya tatu, ngumi alizorusha maywether hazifiki hata sita.
 
licha ya pambano kutokidhi mategemeo waliyokuwa nayo watazamaji wengi lakini bado Mayweather kashinda ukisoma takwimu za majaji labda kama takwimu hizi si za kweli....
 
Back
Top Bottom