Mayweather wins the title. Pacquiao wins the hearts
Weraaaaah,wabongo acheni ulalamishi.hamjaridhika nendeni mahakamani
punguza ndumu wewe jamaa
Ulibet nini mkuu? Pole sana
Hahaaaa kwa vile mtu wao hajashinda watasema ni wizi pole yaooo.
Teh teh teh teh sa ivi ndo unaponda eeh pole kanywe juice ya ndimu pooooooooole unaona faida ya maigizo sasa .Heeeeeeeh poleeee eeh.
Ah wapi!
Siwezi ku-wager chochote ktk masumbwi.
Ona kamaa huu upuuzi ulioisha?
Yaani niliwe hela kirahisi hivyo? Nope.
Haya sasa team kulalamika na team malalamishi ndio. Muda wenu huu
aahahahaa leo siku iko njemaaa