Labda humjui inzaghiinter anakufa 2nd half
Au siointer anakufa 2nd half
Ameanza kufaaainter anakufa 2nd half
Mkuu Scars unaionaje hii gemu Kuna uwezekano Barca kurudisha goli mbilHahahahhahahhahahhahahaa
Naona wanampaisha sana hadi hawa commentator nao nimewaona wana hiyo kitu.Yamal kaja kwa majivuno Sana
Nyie endeleeni kuuguza mgonjwa ambaye hadi maji anaomba alainishiweInter ana mchezo mgumu sana asee.
Jamaa 3-5-2 wameimaster...Inter ana mchezo mgumu sana asee.
Dogo ni talent hilo kubali tu mkuuNaona wanampaisha sana hadi hawa commentator nao nimewaona wana hiyo kitu.
Kuna mmoja katoa nukuu sijui ya nani kuwa eti baada ya ile game ya kwanza jinsi dogo alivyo perfom anaona kama sasa ameshaona kila kitu na sasa yuko tayari kufa kwa amani
Ngoja tuoneinter anakufa 2nd half