hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,060
- 13,694
Hayo magoli matatu aliyoyapata kwani yeye ndo wa kwanza kuyapata dhidi ya Barcelona?Umemkuta inter form Mbovu bado anapata Goli tatu ugenini.
Unapata picha gani ?
Ungekutana na ile version aliyokutana nayo Pep ..safari ilikua imeisha.
Halafu magoli mawili ya kona!
Unafikiri second leg tutafanya uzembe ule wa kushindwa kuzicheza kona.
Timu yenu haina mpira wa kuitisha Barcelona kwa alichofanyiwa leo hata wao watakushangaa ukiona wanatutoa bila wasi.