Na Vidal ametuma salamu pale ukukuni street kwa wakina keita na zile takataka nyingine Kama fabinho etc.
MESQUE UN CLUB
VISCA EL BARCA
Ha ha haaaaaaaaaa.waambie salamu zimeshafika salama.ha haaAisee, tumepokea salamu zake.
Hajamboo?
Kuna mtu alikua anashangilia eti possession Liverpool anaongoza
Nikamuambia yule ndie master Velverde, kuhusu possession sahau sio kigezo sana kwake ,he is so concerned about accuracy na ndio maana hatupigi mashuti golini kwa adui ovyo ,inatakiwa ukipiga goli...no wastage
Salamu ziwaendee Anfield tunakuja kucheza kama match ya kwanza tulipoteza
The same first eleven ila Semedo ataanza
kabisaa mkuu na kesho naenda kucheck Jersey ile ya mwanzo ilishapotea 😂😂sidhani leo kama mtapata usingizi kwa furaha mliyonayo
Mi dua zangu ni kuwaombea tu mchukue ndoo, ingawa najua kitaani tutapata shida sana.
mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza!
Na sura lako hilo kama Sokwe!!!
Mbwa wakubwa nyie!!!
Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu.
Aisee hata usingizi hauji ,Velverde ameweza kutitia aibu ya mwaka
Haaa haa habari ndo hiyo..ha ha haa habari ndo hiyo
#makaburiWewe nae-mpira umeanza angalia lini?hao clinical finishers wako ni kwa ajili ya EPL-sio kwa defence la Barca
Soma hiyoooooo...nne kwa sifuriiii mheshimiwaa..Don't mess up with Messi
# makaburiInjiniaaaa somaaaa hiyooooo...ngapi?
3 bila mkuu....eeeh...tatu sifuri
#tunafukuafukua graves
#tunafukuamakaburiNi kiazi tu![]()