Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani leo kama mtapata usingizi kwa furaha mliyonayo[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu watu tulikuwa tumejificha vichakani tumekata tamaa, now tumeamka
Kinachofuata ni kupiga nyani bila kuangalia usoni
Mi dua zangu ni kuwaombea tu mchukue ndoo, ingawa najua kitaani tutapata shida sana.