Kama utakuwa na kumbukumbu mechi ya Roma alifanya kama alivyofanya leo mwalimu mzuri anabadilika kulingana na mechi wewe unakuja vile vile rahisi mpinzani wako kukusoma tazama Enrique au gardiola anakuja kulingana na mahitaji ya mechi sio huyu fala anaatumiza kila siku
Mwekundu sijaona kosa la cot kiufupi team umezingua yote na kocha hana mipango naomba tusimsingizie cot