Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,375
- 110,051
Siku ya dabi na hampo wadau. Lets bring the fight to themMimi naomba tuwadunde bao za kutosha hiyo siku ya el clasico.
Siku ya dabi na hampo wadau. Lets bring the fight to themMimi naomba tuwadunde bao za kutosha hiyo siku ya el clasico.
Tupo mkuu.Siku ya dabi na hampo wadau. Lets bring the fight to them
Kabisa kama naziona 5 hivi.Yaani leo wakijaa tano zinawahusu
Beki ndio tatizo letu tunasajili kina Gordon.Kwenye usajili tunakimbilia washambuliaji
Yani hii dharau YAMAL anashinda kombe la Dunia kabla ya Siuu Goat.Vijana wetu View attachment 3633264
Mdogo ake Yamal 1×WCYani hii dharau YAMAL anashinda kombe la Dunia kabla ya Siuu Goat.
La Masia ni mhimili mkubwa sana kwa taifa la Spain aisee.. kama ni vipaji basi pale ni kiwandaniVijana wetu View attachment 3633264
Kabisa La Masia ina mchango mkubwa sana kwa mafanikio ya soka la Spain.La Masia ni mhimili mkubwa sana kwa taifa la Spain aisee.. kama ni vipaji basi pale ni kiwandani
Roberto Carlos alisemaga kuna tofauti kubwa sana kati ya Real na Barca. Moja inaunda silaha zake yenyewe moja inaua kwingine ndio iokote.Kabisa La Masia ina mchango mkubwa sana kwa mafanikio ya soka la Spain.
Siku ikidondoka La Masia soka la Spain litayumba sana.
Dah, nilijua atakuwa kamvunja kabisa. Wale Argentina wamepindaRoberto Carlos alisemaga kuna tofauti kubwa sana kati ya Real na Barca. Moja inaunda silaha zake yenyewe moja inaua kwingine ndio iokote.
Saa hapa penye kuokota ndio inasomba wahuni.
Mmoja wa wahuni jana alitaka kuuwa kitoto kidogo ambacho ukikiangalia unaona hd viguu misuli bd kabisa ila kanatandika mishuti