goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Inasikitisha sana hehe.Pale ni Anfield mkuu, historia ya ule uwanja kwenye UEFA inajulikana.
Isingekuwa haki kwa Messi kumaliza career yake bila kupata kuusimulia ule uwanja.
So is anfield a temple too?

