FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hata iweje huyu jamaa hakuna kama yeye kataa ukubali hata Barca angefungwa 6 jana lakini huyu si kiumbe wa kawaida

IMG_1952.JPG
 
Mlimruhusu pep aondoke hamkuonyesha uhitaji wakumbakiza .
Sasa valvede hamna kitu kabisa.
Hajifinzi kabisa,aliona game ya kwanza kazidiwa ila messi alimbeba.
Game ya pili hakubadili mbinu,akaja kuzuia.
Ubaya messi akapotea timu nzima ikapotea.
 
Jana liverpool walizuia circle ya barca isikamilike.
Maana ujinga wao pira utazungukaaa unaishia kwa messi. Watu walishashtukia ilo.
Coutinho sehem za kufunga anamtafuta messi alipo wakati messi amekabwa na beki 2 upuuuzi.
Kiufupi forwad hamna isipokiwa messi. Dembele ndo ushuzi zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom