Coutinho is very weak my dear
SiaminiWakuu mbona upepo umechange ghafla
Funga makalio yakoHakuna cha nesi wala andunje
Tunashinda wazee tuliza mzuka
Worry not
Asipopata hata goli 1 dakika 90 basi barca nje maan 120 atakula 5Siamini
Mashoga Sana haoTimu za kispain zakipuuzi sana eti unagoli Tatu halafu ni semi final halafu zinarudi zote ni upuuzi wahali ya juu sana.
Bora aje ata neres tu Albda katuchomesha sanaWe can sell Coutinho now ,we need sharp left winger
Hakuna mkuu wanacheza kama mabinti tuBarca ana qualify