Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,782
#tunafukuafukuaUnaweza ukawa unaonekana bora kumbe uko darasa la wabovumziki utaanza kuujua pale utakapo kutana na ma genius.
Masela vipi mambo nasema vipiii mambooooo
#tunafukuafukuaUnaweza ukawa unaonekana bora kumbe uko darasa la wabovumziki utaanza kuujua pale utakapo kutana na ma genius.
Hivi una hali.gani aisee..umepima blood.pressureView attachment 1085893Wamechomoa huko![]()
Masela vipi mambo nasema vipiii mamboooooLa Pulga De La MesiéView attachment 1085898View attachment 1085899
Masela vipi mambo nasema vipiii mambooooo
Hilo.sahauNasubiri Manala ahamie Yanga kama alivyoahidi kabla ya mechi
Toka jana baada ya mechi mpaka sasa sina usingizi kabisaAisee hata usingizi hauji ,Velverde ameweza kutitia aibu ya mwaka


NakaziaAfadhali jamani na sie mashabiki wa R tupumue![]()
Tunashinda hili game ,hata mwaka Jana liver alikuwa juu dhidi ya Madrid at the end alioga.


MESSI WA PLAY STATION HAMUACHAGI MTU SALAMA KABISA LKN WA UWANJANI NI MWEUPE SANA NNJE YA BARCELONASidhani kama messi atamuacha MTU Salama.

Pumbavu... Andunje hawezi kufananishwa na Mungu, mlimkosea sana anayetupatia pumzi kumfananisha na upumbavuVijana msiwe na wasiwasi ushindi bado upo
