FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

katika timu nzima ya baselona namuhofia INIESTA peke yake
Messi akiwa anakuja langoni haji peke yake anakuja na kitu kitaalamu tunaita Malipapastas Lutervadiacsa athari zake ni kipa kutokwa jasho..kupanua miguu na papo hapo anaanza pia kumuona De Lima.. Gaucho na Pele kwa mbaali. Huyu ndo mchezaji anayehofiwa na mashabiki na wachezaji wa ti,u pinzani
 
Messi akiwa anakuja langoni haji peke yake anakuja na kitu kitaalamu tunaita Malipapastas Lutervadiacsa athari zake ni kipa kutokwa jasho..kupanua miguu na papo hapo anaanza pia kumuona De Lima.. Gaucho na Pele kwa mbaali. Huyu ndo mchezaji anayehofiwa na mashabiki na wachezaji wa ti,u pinzani
Praise to the king ha ha ha ha
 
Kufundisha timu kama Barca unataka moyo, akili na uvumilivu..makocha wameishia kuzeeka kwa kwa intensity na pressure.
IMG_20180313_015347_773.JPG
 
Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.

Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
Unadhani magoli yanafungwaje mzee, ukicheza simpo blunders una-Tiwa vizuri tuu... nutmeg either side mchezo nini!!!!

Mpira nikutumia makosa ya mpinzani mkuu..

Msukuma wetu umtiti anakamua ile mbaya haha vipi hukumwona msukuma mwingine dembouz alirudi kucheza kama defender!??

Sisi tunachakaza bila kuja makali ya attacking force ya wapinzani 😛😛😀
 
Jamani tuombe fungeni macho
Eeh Mungu kama ambavyo ulitupatia chelsea hatua ya 16 bora ,vile vile fanya maajabu utupatia Real Madrid kwenye robo fainali Amen

#Forca_Barca
Naomba dua ya kumtia uoga adui
Wanakuambia jezi walio tumia cheisii imewagharimu maana la pulga akiona rangi nyeupe anachanganyikiwa anajua ni RM so lazima awa tie
 
Kukutana na real Madrid ligi ya mabingwa ulaya ni sawa na kushindana na Ccm uchaguzi mdogo ,hata ufanyike Kilimanjaro kule siha ,Ccm itashinda kwa ushindi wa kishindo
Hahaha jamani jamani jamani mweeeehh .....ata cheisii walisema kama wewe pumbavu
 
Captain Andreas Iniesta Lujan amepokea offer ya club 3 huko china. Mwenyewe amesema ataamua mustakabali wake April 30 ama aendelee kukipiga na Barca au akakipige huko china. Lujan ambaye ana mkataba wa maisha na Barcelona anatarajia kufikisha miaka 34 mwezi may.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom