FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona play zao nikugee tu secrets hua wanabadilika kutokana na Team
Styles za Velverde yuko more defensive sasa akifunguka ujue opponent umeumia...,akikaba pia opponent unaumia
Unadhani kocha wa Juventus Pallegri alisema sitaki kukutana na Barca alikosea?
Stay tuned ,asikudanganye mtu eti foward ya chelsea ni mbovu...its a big lie walibanwa wakakabwa
Moja ya style za kukaba ni pamoja na kuziba spaces...Willian au Hazard walikua wana swing katikati kutoboa ngome walikua wanashindwa
 
Messi ananipa kazi ya kuwashawishi wajuu zangu kwamba hii ilikuwa ni assist anampa dembele asieonekana pichani.

Yaani anaepewa assist aonekani..sasa messi alimwonaje?

Simply magic!View attachment 715102
Na kiukweli assist ile ilikuwa ni ya kwenda kwa Dembele na alijua kwa speed ya dogo aliyo nayo lazina ule mpira angeufikia tuu watu na macho ya jamani mpaka raha.
 
Jamani tuombe fungeni macho
Eeh Mungu kama ambavyo ulitupatia chelsea hatua ya 16 bora ,vile vile fanya maajabu utupatia Real Madrid kwenye robo fainali Amen

#Forca_Barca
Naomba dua ya kumtia uoga adui
 
Wewe dada juve makundi tumenfanyaje?

Liver inayopigwa na man u ndyo iifunge barca?
Tuliza kipapa mrembo. Kama umeanza kushabikia mpira juzi usitusumbue. Kufungwa na Man U ndio kunamzuia kukufunga wewe.?

Wale si wanakamia game. Hakuna ufundi wala maana ya mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom