MesssiiiiiiiNani aliyetupia?
MesssiiiiiiiNani aliyetupia?
Mtoto halili na hela, tukipewa city hiyo ni tiku dhaifu sanaHahaha
Hongereni next mnakutana na City
Next season ndo tutawamaliza opponents wote ushindi wetu utakua clean sheet goli 4 kwenda juu
mimi katika vitu siamini ni historia... msipende kukariri history... condition uwa zinabadilika ona sasaIN 2012 after 36mins, Barcelona were leading 2 goals to nil and John Terry got a red card. At the end it was 2-2.....lets have our fingers crossed
england ucl haiwahusuHahaha
Hongereni next mnakutana na City
pumbavu zaoAya washikaji watafute wale watabiri ambao suruali zao zina tundu kwa nyuma muwalete hapa
Dadadake watu walitabiri Barcelona atachomoa goli 4 sembuse huu uharo wa Stamford Bridge
Kwanza kocha wao hana akili
Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.mimi katika vitu siamini ni historia... msipende kukariri history... condition uwa zinabadilika ona sasa
Mpira watasema walikoigaHahaha
Hongereni next mnakutana na City
Thats game plan...wakati wao wanashbulia sisi tutakua tumeangalia tu...Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.
Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
Sorry mkuu. Mancity atamshughulokia tu huyu kwenye final.barcelona. OUT.
no discussion.
wakisema taja timu mbili zenye beki ngumu kwa sasa utaiacha Barca?Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.
Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.