vous
JF-Expert Member
- Dec 15, 2017
- 657
- 649
Ukishindwa kumuamin mmeo bx hata hawara hutomwaminMbona unakua kama kindergaten utafuniwe kila kitu ndio uelewe. Nimekuambia foward line yetu ni mbovu na ndio tumeshindwa kutumia vizuri nafasi tulizopata. Liver wao wako vizuri mkikutana nao kuwafunga nyie ni rahisi
