FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

nilitabiri Madrid ingemfunga PSG.
nilitabiri juventus itamfunga spurs
nilitabiri arsenal itamfunga ac Milan
na leo natabiri Chelsea itamfunga barca.
iwe ndani ya 90,au ndani ya 120 au matuta.
barca OUT.
Pole wewe ulietabiri hayo madogo wenzako tumetabiri mechi zote za mtoano uefa msimu huu na mpaka sasa hatujakosea na Leo tuntabiri Chelsea anaaga rasmi. wasemaje??
 
Leteni million 200 tuwauzie Mo Salah, maana sikuhizi Liverpool imekuwa academy ya Barca.
One good season and you already think he can play for Barca!

Relax, we have the best striker in the solar system!

 
Wewe kama nani ?shabiki la Madrid hili unadhani ataitakia mema Barcelona ?go to hell leo Fc Barcelona 3-Chelsea 0
angalia msije kuwa kama wayahudi.
waliomtafuta yesu baada ya kupaa ndo wakaona umuhimu wake.
all the best.
 
Barca Vs Chelsea tonight
IMG_20180314_213511.jpg
 
Wengine wakilewa wanaongea kiingereza ila Mimi nikiona barca tu inacheza napata raha hadi naongea kispaniola kwa mapenzi ya dhati na Barca.

Uña trabajo tamka (trabayo) para messi el caliente suavemente besame Chelsea por amor de una mujer.

Visca Barca...Contigo el finale!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom