FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

18 men to face athletic club
IMG_20180317_160206.jpg
 
Pumbavu... You are completely wrong. Hujui mpira fala wewe.
Ulitakiwa uandike "Barca vs Roma" na sio "Roma vs Barca"

Umeshindwa kumrekebisha kwa hekma? Duh we kweli padri 😀😀😀😀😀

Ndiomaana utabiri wako hauzai matunda....subiri huyo Roma wako tumpatie dozi 5 za chapp chapp and away tunakupigia 4...alafu tunamtaka madrinyonyo.
 
Rakitic anaingia kwenye wachezaji ambao ni foundation ya Barca
Damn the guy is so good ku defend (velverde things) na ukimchezesha offensive ana fit pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom