FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii ingesaidia sana leo
 

Attachments

  • Screenshot_2018-03-15-01-12-48.png
    Screenshot_2018-03-15-01-12-48.png
    126.7 KB · Views: 47
Walijiachia sana atleast wangekuwa solid defensively kuliko kutawanyika sana,kumbuka hata baada ya city kuwachapa goli moja hawakuwa na la kupoteza lakini waliendelea kukaa nyuma tu,nadhani umenielewa.

Hao jamaa wapaki bus wasipaki bus wanafungika vizuri tu...labda sio la pulga
 
chambua mpira kiufundi acha hizo porojo sema liver anaweza mshinda barca kwa hili na hili na kinyume chake pia au madrid atamfunga barca au bayern kwa kutumia mfumo huu na ule na sio kusema liver atafungwa na barca umekua mganga
Mbona unakua kama kindergaten utafuniwe kila kitu ndio uelewe. Nimekuambia foward line yetu ni mbovu na ndio tumeshindwa kutumia vizuri nafasi tulizopata. Liver wao wako vizuri mkikutana nao kuwafunga nyie ni rahisi
 
Safi sana King Wa dunia kuwahi kutokea.....safi sana Dembele.....safi sana Barca players kwa ujumla.

Nilijuwa tu,,, Messi lazima awatoe kamasi the blauzi.
 
Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.

Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
Nimecheka eti Mwamtiti!
 
Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.

Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
UEFA tumefungwa goli 2 tu basi naona una hisia kali za kufungwa unatuombea mabaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom