FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu hii kitu kweli kabisa. Ila leo mmetufunga ni kwa uzembe wetu mkikutana na timu ina foward line kali kama Liverpool nyie mbafungika. Barcelina hii ya hawa wanyakyusa Mwamtiti siyo ile ya kina Puyol.

Mmetukuta na sisi wenyewe wabovu.
chambua mpira kiufundi acha hizo porojo sema liver anaweza mshinda barca kwa hili na hili na kinyume chake pia au madrid atamfunga barca au bayern kwa kutumia mfumo huu na ule na sio kusema liver atafungwa na barca umekua mganga
 
angalia msije kuwa kama wayahudi.
waliomtafuta yesu baada ya kupaa ndo wakaona umuhimu wake.
all the best.
Muwe mnakumbuka na kuleta mirejesho sasa
Tonight nitakua naangalia mpira huku nimebinya mapumbu.
William akitupia kamoja, Hazard akamalizia kapili nazima taa nalala.
Shemale vp kende hazijapasuka tu?
 
Conte hana akili au ameipuuza barca. Kumbuka siku anacheza na city round ya pili epl,alipaki bus kisa city lakini leo anashambulia dhidi ya barca,aibu yake sasa hii.
 
Conte hana akili au ameipuuza barca. Kumbuka siku anacheza na city round ya pili epl,alipaki bus kisa city lakini leo anashambulia dhidi ya barca,aibu yake sasa hii.
Sasa mkuu ulitaka na leo chelsea wapaki bus kweli?
 
Dah pagumu sana. Japo ningependa Barca apigwe ili Suarez na Coutinho waumie lakini bado kadamu kanakataa kukubali... dah
Hahah! hatar kwel kwel ila usijar hawaweza kukutana
 
Sasa mkuu ulitaka na leo chelsea wapaki bus kweli?

Walijiachia sana atleast wangekuwa solid defensively kuliko kutawanyika sana,kumbuka hata baada ya city kuwachapa goli moja hawakuwa na la kupoteza lakini waliendelea kukaa nyuma tu,nadhani umenielewa.
 
Dembele was outstanding tonight!

Created many chances, scored a screamer, and defended pretty well. Ile tackling against Marcos Alonso saved my breath asee!

Our midfield finished it all. Yule Ngolo Kante akiwa EPL anawaburuza midfielder uchwara wa kule mpaka unawahurumia. Ila akina Rakitic wamemfanya aonekane useless at savage level of mediocrity!

Busquets the beast, Rakitic the conqueror, Iniesta the maestro, paulinho the tank!

Suarez was tightly marked so he was down in the party. ila hii ndio ikawa advantage kwa La Pulga.

Yani jamaa wamekomaa kumzuia Suarez then wanamuacha Messi. Nimeona Conte anamuongelesha Messi, nahisi alikua anaomba msamaha kwa kumu-underestimate!

Lile jitu la kuitwa Umtiti ni katili sana. It was an outstanding defense work! Pique na Alba wanaonyesha maturity!

Sergi Roberto is the future of Barca. Mark my words!

It was a great match, at a great stadium with the greatest team (barca).

Good night fellas!
 
Walijiachia sana atleast wangekuwa solid defensively kuliko kutawanyika sana,kumbuka hata baada ya city kuwachapa goli moja hawakuwa na la kupoteza lakini waliendelea kukaa nyuma tu,nadhani umenielewa.
Nakuelewa lakini they needed to score ndio mana walifunguka ili wapate goal, ukuta wa barca wa sasa ni mgumu hawezi mchezaji mmoja au wawili kusimama peke yao. Kwahyo walihitaji team work kufanikisha hilo dho limefail. Kitu kingine lile goal la mapema kabisa ndio liliwavuruga kabisa ata wangepark bus ilikua haina maana tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom