Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

Kuna haja ya kuanzisha TEA Party like movement Tanzania.
 
Masaki residents to go to court

Sunday February 07, 2010


THE dispute involving development of a portion of Masaki Beach has taken a new turn after some residents threatened to petition the decision in court.

Masaki local government leader, Ms Janet Mbene told the 'Daily News' at the weekend that she would mobilise residents in the area to go to court and contest the move by Kinondoni Municipal Council to portion out the beach to developers.

"I have received support from Masaki residents who have expressed desire to go to court in contest to the move," Ms Mbene said from Arusha. "I am on way to Dar es Salaam and the first thing I will do is talk to cell leaders and their representatives on the way forward," she said.

The chairperson of the Masaki local government council said they would first discuss the matter with the municipal council and later, if they fail, the next option would be to go to court.

Ms Mbene said the area has 6,000 residents, who include international organisations; Diplomatic Missions and Tanzanians who are against the proposed development of the beach.

Another resident who sent his views via our online said, the government must make sure that Dar es Salaam residents have a public beach.

"The developers have the right to develop the land, but have no right to stop the public from using the beach.

"Even in Mombasa Bamburi Beach there is a chunk of land and beach for the public which was set aside by the late President Jomo Kenyatta. No one touches that land and the same must be reserved for Dar es Salaam residents."

The Acting Director of Environment, Mr Richard Muyungi, urged Kinondoni Authorities to set aside beach areas for public use instead of privatizing all the beaches.

He said most of the beach structures were built illegally before the new environment Act, but from now on the Directorate was keen on making sure that Environmental Impact Assessment (EIA) is conducted before any development is done.

The beach area between Sea Cliff and Golden Tulip hotels at Masaki in Dar es Salaam has been apportioned to six developers, some of whom proceeded to clear the sites without obtaining clearance that their projects are environmentally friendly as required by law.

The National Environmental Management Council (NEMC) issued a stop order early last week on any development until the developers submitted EIA reports for approval by the council.

The firms allowed to develop the area by the Kinondoni Municipal Council include Sea Breeze and Drive In Cinema Ltd, Commodity Traders Ltd, Wellworth Hotel and Lodges, Professional Cleaners, Red & Black Enterprises and Centrally Cinemax to create recreational facilities.
 
Mkuu hebu tuambie siri hiyo au na wewe ni walelawle wa chukua chako mapema nini? MAANA HAWA JAMAA HUWEZI KUKIMBIZANA NAO MZEE AU?

Mkuu,

Hao jamaa wako makini sana kutokuvunja sheria moja kwa moja [meaning ukiwapeleka mahakamani itakuwa story kama ya kina Liyumba; hela zimeliwa lakini hawana makosa mbele ya sheria]...wanachokifanya ni kucheza na infomation wanazopata kutoka kwa wafanyakazi wa serikali. Then, wanatumia taratibu zilizopo kujichukulia vya kwao kilaini kabisa...so, kama nilivyosema dawa ni kwenda nao sambamba...sometimes inawezekana, sometimes inashindikana...arthi yetu ndio hiyo hiyo...sheria ni dhaifu; ukisubiri sheria zibadilishwe utakuta hakuna kitu.
 
Huu ni ufisadi wa hali ya juu!!

Hii nchi sijui inaendeshwa na nani? Tusikubali hii project iendelee. Wanajua sheria ni kwamba ujenzi unatakiwa uwe mita 60 kutoka kwenye ufukwe wa bahari. Beach si ya mtu mmoja and kundi la watu, beach ni ya PUBLIC, kwa kila mtu.

Hata wakoloni walipojenga, Oysterbay, nyumba zote zilikua upande wa pili wa barabara, isipokua Polisi Officers Mess. Wakaanza Golden Tulip, Seacliff...yani imefika sehemu hata aibu hawaoni...kwa kweli walioiusika katika hili ni waujumu, wanastahili kushitakiwa.
 
Ile ndio ilitakia kuwa scenic route, inavutia kila mtu..hata kule msasani, serikali ilifanya makosa, wazito wakagawiana viwanja vinakwenda mpaka beach..Sheria lazima zifatwe, ata kule kunatakiwa marekebisho. Imagine tungekua na scenic route toka dar mpaka magamoyo? Hizi njaa za 10% zinatupeleka kubaya..
 
Mungu wangu!

Hii njaa itapelekea siku moja tutaambiwa hata pale sea front posta ya zamani panamilikishwa!

Walaaniwe wabinafsi wote wanaoshiriki kutuhujumu wao na mpaka vizazi vyao vya saba!

Nawaunga mkono wakazi wa masaki; niko tayari kutoa mchango wangu wakienda mahakamani;

eneo husika limekuwa maarufu na la kihistoria ktk familia yangu tngau wakati wa uchumba na mpendwa wangu na hata sasa mwanetu tumekuwa tuienda huko mara kwa mara kila tupatapo nafasi!

Watanzania tuungane kupinga ufisadi huu!
 
hii plot si ndo amepewa jamaa wa Cultural Heritage? Huyu jamaa aliwahi kutuambia kwamba amepata eneo karibu na sea cliff.
 
sioni picha mkuu.

Jamani picha zipo. Angalia habari ya tarehe 5Feb muda wa saa 5.38 asbh.

Labda mimi nieleweshwe, endapo eneo hilo litawekwa vitega uchumi vya aina mbalimbali kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi tatizo litakuwa ni nini?

Big up Mwanakijiji kwa habari za kiuchunguzi
 
Jamani picha zipo. Angalia habari ya tarehe 5Feb muda wa saa 5.38 asbh.

Labda mimi nieleweshwe, endapo eneo hilo litawekwa vitega uchumi vya aina mbalimbali kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi tatizo litakuwa ni nini?

Big up Mwanakijiji kwa habari za kiuchunguzi

kuna ubaya gani vitega uchumi hivyo vikawekweze kwenye eneo wazi lililo nyuma ya Ikulu karibu na bahari pia?
 
kuna ubaya gani vitega uchumi hivyo vikawekweze kwenye eneo wazi lililo nyuma ya Ikulu karibu na bahari pia?


Duh Huko Magogoni tumepigwa marufuku kupita ikishafika saa 12 jioni kwa sababu za kiusalama sembuse kuweka kitega uchumi!! Hizi fuko 'Beach' zinaumuhimu sana katika usalama wa nchi lakini naona 'ulafi kwanza... mengineyo yatafuata' ndo order of the day.
 
Tumeharibu kila mahali tukidhani kuwa ndiyo maendeleo. Hii sasa ni kumalizia tu vijisehemu vilivyobaki. Tutavuna tu tunayopanda.

Amandla......
 
Ile ndio ilitakia kuwa scenic route, inavutia kila mtu..hata kule msasani, serikali ilifanya makosa, wazito wakagawiana viwanja vinakwenda mpaka beach..Sheria lazima zifatwe, ata kule kunatakiwa marekebisho. Imagine tungekua na scenic route toka dar mpaka magamoyo? Hizi njaa za 10% zinatupeleka kubaya..

Mbezi beach ndio "LOnda" ameuza beach yote ; ndio maana sehemu za Kawe kuna uhalifu mwingi kwani vijana hawana sehemu ya kupumzikia. Kuna plot moja tu sambamba na Plot ya Rupia ndio huyo mwenyewe hajajenga ndio wananchi wanapita kwenda baharini na siku mwenyewe akijajenga ndio itakuwa hakuna access ya beach kwa watu wa mbezi. Ingefaa Jakaya arevoke plots zote ufukweni ambazo hazikidhi Enviromental Impact ASSESSMENT!! Hiyo inaweza kuwa legacy nzuri ya utawala wa muungwana!!
 
Imefika wakati watu wareact with action. Wanamazingira na NGOs kwa nini msiende mahakamani kuzuia mambo haya.
 
Mbezi beach ndio "LOnda" ameuza beach yote ; ndio maana sehemu za Kawe kuna uhalifu mwingi kwani vijana hawana sehemu ya kupumzikia. Kuna plot moja tu sambamba na Plot ya Rupia ndio huyo mwenyewe hajajenga ndio wananchi wanapita kwenda baharini na siku mwenyewe akijajenga ndio itakuwa hakuna access ya beach kwa watu wa mbezi. Ingefaa Jakaya arevoke plots zote ufukweni ambazo hazikidhi Enviromental Impact ASSESSMENT!! Hiyo inaweza kuwa legacy nzuri ya utawala wa muungwana!!

Ufukwe wa Africana umeuzwa wote, raia akitaka kuingia ufukweni lazima alipie kwenye moja ya mahoteli yaliyojengwa kando kando ya ufukwe. Je wao wanalipia hiyo bahari.
 
My God. We have a way out. What we need to do is to support the youth who we know that they are not influenced by the Fisadi. We can do a compaign to them by showing the negative impact the current regime has done to the nation. Mkumbuke pia Coco beach alishapewa mhindi na baada ya watu kupiga kelele Pinda akasema rudisheni iendelee kuwa sehemu ya wazi. Yale maghorofa yaliyovunjwa toure drive kati ya Golden Tulip na Sea Cliff yalisemekana yalikuwa juu sana kiasi cha kuzuia upepom sasa kama wameuza mbele yake maana yake nini? Inaonekana watawala walikuwa hawajapata chao. Nchi hii tunahitaji Viongozi na si watawala.."We need Leaders and Not Rulers"
 
you nailed it; Watanzania kwa kupenda mepesi mepesi tunakimbilia kuwalalamikia wahindi as if awa wahindi ni wanadamu kutoka sayari nyingine. Mara tunalalamikia wachina, mara wakenya.. halafu katika wazimu wa fikra zetu kesho tunasimama na magwanda yetu ya kijani na njano tukiimba kama kasuku "nambari wani eeeh!!"

Mzee, naona kama huwatendei haki baadhi ya uliowajumlisha kwenye hili. Wenye kuvaa magwanda ya kijani wengi wao hawavai bali 'wanavalishwa' na wanapoimba "nambari wani eeeh" wanaimbishwa, hawaimbi kutoka kwenye mioyo wala fikra zao kwa sababu waimbaji hao majority hawajui wanaimba nini na kwa nini.

Mzee, kila siku tunapiga kelele hapa kwamba elimu ni muhimu sana kwa umma kuelewa tofauti ya kuimba kwa dhati na kuimbishwa ama kuvaa magwanda na kuvalishwa.
 
Back
Top Bottom